Dakika ya 90, Mechi 0-0 Mmepata Faulo, Nani atapiga?

Yani kuna mbrazili mmoja umemsahau hapo list yako batili, anaanzia na Ju...
 


Story nyingi lakini bado umekosea, Fikiria hapo jamaa anataka ushindi na ukikosa tu hiyo taulo basi huna chako!


Hao wote ulowataja japo nawakubali lakini kwa hali iliyoelezewa hapo bado hawafai.

Binafsi nitampa fundi wa Kibrazil si Ronadinho bali ni mtu asiye jina kubwa si mwingine bali ni Mnyama JUNINHO!!!!!
 
JUNINHO PERNAMBUCANO
 
Una umri gani? unataka tuwaze sawa? umeisoma mada lakini ukaielewa? Hapo kwenye red,hapa tunaongelea faulo na sio taulo,ndio maana unaanza kupingana na maoni ya wengine badala ya kuweka tu maoni yako! haya ndio madhara ya mtu kujifanya mjuaji kumbe mtupu kabisaaa!
 
Heshimu mawazo yake kama ambavyo na ww tunaheshimu ya kwako.
 
mguu wa kushoto
  1. sinisa mihajlovic : fundi wa mipira iliokufa kutoka serbia miaka mingi iliopita.
  2. ronald koeman: fundi wa kiholanzi miaka hiyo
mguu wa kulia
  1. juninho pernambucano
  2. david beckham
Koeman licha ya kucheza nafasi ya beki, ana magoli mengi sana yakiwemo hayo ya mipira iliyokufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…