Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Kuna sheria inayonizuia kumuweka?Asa boss, kwenye hii list ya hao jamaa unamweka vipi mata??
Pia yumo Jose Luis ChilavertSinisa Mihajlovic namuelewa sana katika hiyo kazi, pia msimsahau Rogerio Ceni goal keeper mwenye magoli zaidi ya 100 kama sijakosea
Juninho Pernambucano,the SpecialistWakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?
Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?
Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.
Beckham hamfikii Pernambucano hata nusuDavid Beckham, kama hayupo anachukua Juninho Pernambucano.
Sio anajua yeye ndio Mfalme kwenye sekta hiyoHuyo Juninho anajua sana kwenye mipira iliyokufa, nilimsahau kidogo tu
Umenena vemaHakuna fundi wa hiyo mipira zaidi ya Juninho, CR7 rate ya upigaji na ufungaji hatakiwi hata kuwa kwenye hiyo list
Beckham hamfikii Pernambucano hata nusu
Juninho ndio bora wa all time kwa free, Beckham hagusi yule mtu, zaidi ya promo tu za KingerezaRudi kaangalie YouTube na statistics zao mkuu.
Beckham kamzidi Pernambucano?Rudi kaangalie YouTube na statistics zao mkuu.
Bado hamfikii Pernambucano
huyu fala alikuwa ni miongoni mwa wanadamu waliofanikiwa kufunga free kick tatu kwenye mechi moja, tatizo lake hakuwa handsome kama beckham ndio maana haimbwi sana kwenye media.
kuna watu free kick meter 35 kwake yeye ni kama penalty [emoji14] [emoji14]
Fiorentina, Napoli, Roma, Sampdoria, Parma, Lazio, Udinese, Parma.
dah mpira wa italia zamani ulijaa mafundi kila timu ndio maana ushindani ulikuwa ni mkubwa sana, leo hii amebaki juventus peke yake.
Beckham kamzidi Pernambucano?
Hapo sawa kama ni Mapenzi yako binafsi kwake,but in reality Juninho mpaka sasa hana mpinzani kwenye sekta hiyo.Mimi binafsi ningempa Beckham.
Hapo sawa kama ni Mapenzi yako binafsi kwake,but in reality Juninho mpaka sasa hana mpinzani kwenye sekta hiyo.
Juninho nimemwona kwenye UEFA zaidi, Beckham nimemwona sana UEFA, Local Leagues na Internationals.
Nadhani hii inaweza kuwa sababu ya kumpa upendeleo.
Mm nitampa Neymay jr kama atakuwa serious na siku hiyoWakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?
Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?
Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.