Dakika ya 90, Mechi 0-0 Mmepata Faulo, Nani atapiga?

Hakuna sheria yeyote inayokuzuia, ila inaonyesha ujuzi wako mdogo kuhusu kandanda.
 
Wakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?

Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?

Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.
Juninho Pernambucano,the Specialist
 
huyu fala alikuwa ni miongoni mwa wanadamu waliofanikiwa kufunga free kick tatu kwenye mechi moja, tatizo lake hakuwa handsome kama beckham ndio maana haimbwi sana kwenye media.
kuna watu free kick meter 35 kwake yeye ni kama penalty 😛 😛

Fiorentina, Napoli, Roma, Sampdoria, Parma, Lazio, Udinese, Parma.
dah mpira wa italia zamani ulijaa mafundi kila timu ndio maana ushindani ulikuwa ni mkubwa sana, leo hii amebaki juventus peke yake.
 
huyu fala alikuwa ni miongoni mwa wanadamu waliofanikiwa kufunga free kick tatu kwenye mechi moja, tatizo lake hakuwa handsome kama beckham ndio maana haimbwi sana kwenye media.
kuna watu free kick meter 35 kwake yeye ni kama penalty [emoji14] [emoji14]

Fiorentina, Napoli, Roma, Sampdoria, Parma, Lazio, Udinese, Parma.
dah mpira wa italia zamani ulijaa mafundi kila timu ndio maana ushindani ulikuwa ni mkubwa sana, leo hii amebaki juventus peke yake.
Bado hamfikii Pernambucano
 
Hapo sawa kama ni Mapenzi yako binafsi kwake,but in reality Juninho mpaka sasa hana mpinzani kwenye sekta hiyo.

Juninho nimemwona kwenye UEFA zaidi, Beckham nimemwona sana UEFA, Local Leagues na Internationals.

Nadhani hii inaweza kuwa sababu ya kumpa upendeleo.
 
Screenshot_20190619-111643.jpeg
Screenshot_20190619-111811.jpeg
Screenshot_20190619-112041.jpeg
Screenshot_20190619-112230.jpeg
 
Wakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?

Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?

Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.
Mm nitampa Neymay jr kama atakuwa serious na siku hiyo
 
Back
Top Bottom