Dakika ya 90, Mechi 0-0 Mmepata Faulo, Nani atapiga?

Aaah mkuu unaniangusha..... List yoyote ya wapiga free kick hatari bila Kiungo wa zamani wa Lyon Juninho Pernambucano list inakuwa haijakamilika kabisa. Huyo ndio alikua na probability kubwa ya kukutungua akipewa free kick hasa nje kidogo ya box

Real madrid wanaujua moto wake maana alikua anazima ndoto zao kila wakikutana.....
 
The Little King of Sao Januario. Mpaka kesho yupo kwenye chorus ya wimbo wa mashabiki wa Vasco da Gama
 
Umefanya kosa kubwa sana kumuacha Juninho huyu jamaa washabiki wa lyon walikuwa wanashangilia goli kabla hata faulo hajapiga back to your quiz hapo ni beckham na huyu fundi Juninho hao wengine wanajaribu tu
 
Umefanya kosa kubwa sana kumuacha Juninho huyu jamaa washabiki wa lyon walikuwa wanashangilia goli kabla hata faulo hajapiga back to your quiz hapo ni beckham na huyu fundi Juninho hao wengine wanajaribu tu
Hata huyo Beckham sio level ya Junihno maana kwa mujibu wa statistics Beckham hata Gaucho na Pele hawafikii
 
Namchagua Juninho pernambucano huyu jamaa ni mfalme wa mipira iliyokufa katika maisha yake ya soka kafunga goals 131 na goals 77 ni za faulo,,,alikuwa hakosei
 
Mimi ni team Messi lakini mbele ya Juninho hata kina Gaucho, Carlos walikuwa wanampisha Juninho apige
 
Hapo kitu moringa tuu
 
Rivaldo ningemkabizi mzigo azamishe jahazi la adui
 
Na je ikitokea kona dakika za majeruruhi kwenye mechi ya robo finali champion league utampa nani apige kona ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…