zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Aaah mkuu unaniangusha..... List yoyote ya wapiga free kick hatari bila Kiungo wa zamani wa Lyon Juninho Pernambucano list inakuwa haijakamilika kabisa. Huyo ndio alikua na probability kubwa ya kukutungua akipewa free kick hasa nje kidogo ya boxWakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?
Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?
Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.
Real madrid wanaujua moto wake maana alikua anazima ndoto zao kila wakikutana.....