mkuu kwa ukubwa wa jengo hilo gharama ya kuweka umeme hapo si ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja tu wa huyo mbunge.! isitoshe wanapewa fedha za mfuko wa jimbo na sijui zinaishiaga wapi hizi pesa yaani kuvuta umeme tu unaogharimu million 3 tu ndio la kuchukua miaka kweli.!Huyu hizo pesa ni Bora angezitunza hatoamini