PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu hizo pesa ni Bora angezitunza hatoamini
mkuu kwa ukubwa wa jengo hilo gharama ya kuweka umeme hapo si ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja tu wa huyo mbunge.! isitoshe wanapewa fedha za mfuko wa jimbo na sijui zinaishiaga wapi hizi pesa yaani kuvuta umeme tu unaogharimu million 3 tu ndio la kuchukua miaka kweli.!
 
Kwa wale wasukumu wanao ho hwa hadi Chumvi jamaa anashinda, hakuna watu wajinga kama Wasukuma,
 
Huu ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…