Dakika za lala salama

Dakika za lala salama

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Endeleeni kuleta mapoda ninyi wadada, mwenzenu anapambana kikubwa kupumua tu.
IMG-20240628-WA0243.jpg
 
Hapo Mapoda una maanisha nini?
Mkalimani wa lugha za alama na lugha zisizo rasmi nimewafikia.

Mkalimani :

Anaposema "endeleeni kuleta mapoda nyinyi wadada" hapo amechevusha na kuchechefua Neno Mapozi au Maringo na kulipeleka kwenye Neno mapoda Sawa Sawa aseme "endeleeni kuleta Maringo nyinyi wadada"

Ni MIMI wako Mtaalamu & Mkalimani wa lugha za alama na lugha zisizo rasmi Lethergo
 
Ahsante mwalimu wa Lugha

Back
Top Bottom