Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Twende tukamtoe niffer
Mmmh si tutawekwa sisi ndani 😥Twende tukamtoe niffer
1. Neema na Rehema za Mungu, mwaka huu kwangu zimefanya maisha kuwa rahisi.Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja.
- Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu?
- Mstari gani wa wimbo unakugusa na unaona kama unaongelea yanayoendelea maishani mwako?
- Kama ungeweza kumuuliza mwanamke yoyote swali, angekua nani na ungemuuliza nini?
- Vipi keshokutwa unatoka, unatiki au unabaki nyumbani?
- Sehemu gani ya mwili akikugusa unampa?
Huyu Niffer twaenda mtoa kibabe sanaa mzee baba. Huku ndio utakuwa mwisho wa Mafwele kupumuaa..Twende tukamtoe niffer
Hii ndiyo nini?MO29
Everybody should do what works for them.
🫂 ndiyo maisha1. Maisha yangu sio rahisi, its ups and downs nadhani hadi kukata moto, its never an easy ride.
Tupe nyimbo uzipendazo2. Generally gospel music, nikiwa down gospel inani revive.
Jamani Atoto usiwe hivyo3. Atoto, ningemuuliza mbona ananifanyia hivi, sio fair!!
Najua hautoki, ila hapa huwezi kusema 😅😅4. Mimi ni Gen X, nikisema nitoke nikivunjwa mbavu hazitapona...ila nitatoka tu😅
5. Sio kuguswa, kuna namna akinitizama tu tayari, regardless ya uzee😅
Njoo taratibu basi 🤣🤣Majibu yangu ni Hakuna na Hapana.