Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

1. Siwezi sema maisha yangu yamekuwa rahisi mwaka huu ila i am very very grateful kwa kila hali tbh. Wafilipi 4:11-13

2. Malengo ya Mungu - Yeremia 29:10

3. Hakuna kwa kweli

4. NtkπŸ˜‚πŸ˜‚

5. Akiniangalia tu kwisha mimi
 
Yaani usiku wa trh 29 kama nilivyosema lazma nivute mtoto wa mama mkwe niichape kwanza halafu asubuh najimbaga jr

Naenda kupambania taifa mwepes πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Eti uji-MbagaJR πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜… Daaah, nawaone huruma sana wanaowategemea mkawakomboe πŸ˜…
Kwanza huchelewi kuona tako refu tu, ukaachana na kikosi chako cha mawe.
 
Eti uji-MbagaJR πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜… Daaah, nawaone huruma sana wanaowategemea mkawakomboe πŸ˜…
Kwanza huchelewi kuona tako refu tu, ukaachana na kikosi chako cha mawe.
Halafu kumbe sijakwambia kama nitaenda na daftari la kuchukulia namba za wachumba wanaoandamana maana simu nitaacha home πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapo amekuvizia anakuangalia huku anakusogeza kwenye ukuta akubananishie hapo kwanza… yerewiii πŸ’¦
 
AbeeeπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
4. Nakuona unavyotoka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

5. Hiyo ya kuangaliwa inatubamba wengi, na kuna namna akikuangalia unajua tu anaitaka hata kama hajasema chochote πŸ˜‹πŸ€­.
 
Eti uji-MbagaJR πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜… Daaah, nawaone huruma sana wanaowategemea mkawakomboe πŸ˜…
Kwanza huchelewi kuona tako refu tu, ukaachana na kikosi chako cha mawe.
Wngn hatuna mademu, sasa 29 barabarani itakuwa mchakamchaka, huwez kwenda ukiwa mzito hvy n lazima u-refresh mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…