Dakika za majeruhi - njoo tuzogoe

Tuongeze siku za kuishi

Kama sikosei
“ Mtume alisema ujana ni nusu ya uwendawazimu”
 
Everybody should do what works for them.

Personally, I’m happy to pay for a man if i have to, but I don’t want it to be expected.

I’m definitely not a 50/50 (equality) type of woman.
Are you sure?

What kind of 50/50 is not for you!

Maana nyie mnapenda tu yale mambo yaliyo in-favor for you only!

Your browser is not able to display this video.
 
Atoto na dipreshen dam dam
 
Aaanha sawa, basi ukae mstari wa mbele kabisa ili uwaonyeshe FFU uanaume wako 😅
Nipo kwenye harakati toka majuzi nao wanajua vizuri kabisa. Usiku mzigoni leo tunaamsha rasmi. FFU wapo upande wa wananchi, nao wametekewa ndugu zao. Ukiona kimya tutaonana November pale pale Brussels baada ya ukombozi, nitaenda kujipumzisha na jirani yangu Seran
 
Lete basi majibu yako mamie 🫶
1.Kuchagua kuupa amani moyo wangu kuliko kitu chochote...hata litokee gumu gani,nauambia moyo...Tulia wewe,huwezi beba changamoto zote!

5.mi hata asiponishika nikiwa na moto huwa nampigia tu,hey,tuonane basi, nahitaji penzi lako!
Niwe muwazi tu,kwenye suala la kufanya mapenzi nikiwa na hamu sijawahi Kuona aibu kabisa.
 
Jichanganye 🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…