Dakika zinakaribia za Trump kupiga magoti na kuomba msamaha

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Trump agundua Israel ilimdanganya " -sasa kupiga magoti na kuomba msamaha

.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Rais wa Marekani Donald Trump wakati wa mkutano wake na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya White House mjini Washington Septemba 29, 2025.

Mapitio ya magazeti ya Uingereza, ambayo yanajumuisha uchambuzi wa mwenendo wa vita katika Mashariki ya Kati, uwili wa Marekani na Israel katika kukabiliana na Iran, athari za kupungua kwa matumizi ya fedha katika ulinzi wa Uingereza, na mizozo ya kisheria kuhusiana na athari za kutumia mitandao ya kijamii.

Katika gazeti la The Independent, makala ya Robert Fox inaangazia mwenendo wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, yenye kichwa "Hatimaye, Donald Trump ametambua kwamba Israel imemfanyia hila."

Makala hiyo inazungumzia "kutoelewana hadharani" kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu usimamizi wa vita na Iran.
 
Bado kazi anayo
 
Israel watamuua Trump,maana ni mabingwa wa kuua.
 
Back
Top Bottom