Dakitari wa wanawake mkoa wa Arusha

Dakitari wa wanawake mkoa wa Arusha

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
175
Kama kuna mtu anamfaham daktari wa wanawake hasa mambo ya kizazi kwa mkoa wa Arusha anisaidie contacts zake na yuko hosiptali gani.
 
Mkuu@keben ninao wajua ni dr.wanjara yupo mianzini,dr msuya wa st.thomas na dr.lekundayo wa mount meru hospital ambae wakati mwingine anapatikana AICC hospital,kila la kheri.
 
Nenda St Thomas Hospital, kuna doctar mzuri anaitwa Dr Makando
 
Mkuu@keben ninao wajua ni dr.wanjara yupo mianzini,dr msuya wa st.thomas na dr.lekundayo wa mount meru hospital ambae wakati mwingine anapatikana AICC hospital,kila la kheri.
Nashukuru sana kiongozi
 
Back
Top Bottom