mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Wahi fasta ukamuone daktari.Doctor, if you can help, I am experiencing severe itching down my testicles. kwa kweli nimepata tiba waapi, pharmacy nimepewa tube nipake waaapi. Kama ni kufuli nabadilisha kila siku moja. Sirudiina nazifua vizur nakung'uta maji kuepusha kama ni fungas lakin jamani mnajua kuwashwa, nafua testicle zangu wakati mwingine kama nguo. nazisugua sana hadi zinauma.
msaada tafadhal,
swaum makubur
mfungo wa ramadhan huu weweWahi fasta ukamuone daktari.
Inawezekana kabisa ikawa ni 'fungi.'
Daktari inabidi aone physically kwanza.
Kwa hiyo usitibiwe kisa mfungo wa ramadhani? Au unamaanisha nini?mfungo wa ramadhan huu wewe