mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Doctor, if you can help, I am experiencing severe itching down my testicles. kwa kweli nimepata tiba waapi, pharmacy nimepewa tube nipake waaapi. Kama ni kufuli nabadilisha kila siku moja. Sirudiina nazifua vizur nakung'uta maji kuepusha kama ni fungas lakin jamani mnajua kuwashwa, nafua testicle zangu wakati mwingine kama nguo. nazisugua sana hadi zinauma.
msaada tafadhal,
swaum makubur
msaada tafadhal,
swaum makubur