Daktari afukuzwa kazi kwa kumfanyia upasuaji mgonjwa ‘guest’

Dr pengine alikuwa anatembea na vifaa vya upasuaji!
 
Kuna Daktari mmoja alikuwa peramiho mission referral hospital alikuwa yank tu ndio zilikuwa kaz zake hiz nasikia alipelekwa iringa huko nako ndio kaz zake nadhan anaitwa Dr DANY sijui yuko wap huyu mwamba
Mwamba umechoma🔥
 
Inabidi wafungwe kwa kosa la kumzidia mgonjwa maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upasuaji unaweza kufanyika guest house kuna sababu gani kwenda kupasuliwa Marekani tena na escort
 
Au ilikuwa 500,000!!!!
Kama ni 50K si bora wangeenda nyumbani kwake!!!
 
daktari huyo aliyefukuzwa (jina linahifadhiwa) hayuupo katika kitengo cha upasuaji na kwamba alimrubuni mgonjwa huyo na kwenda kumfanyia upasuaji katika nyumba ya kulala wa geni
Jina limehifadhiwa ili akawarubuni wengine mbele ya safari
 

Nasema hawana mamlaka hayo, sana sana walipaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika... nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii.

Hizo unazoita sheria wewe ulisoma wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…