sabuwanka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 691 Reaction score 757 Mar 9, 2021 #41 Ndugu yangu relax, madiwani ndio mamlaka ya nidhamu kwa watumishi wote walioajiriwa katika serikali za mitaa isipokuwa walimu Ncha Kali said: Nasema hawana mamlaka hayo, sana sana walipaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika... nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii. Hizo unazoita sheria wewe ulisoma wapi? Click to expand...
Ndugu yangu relax, madiwani ndio mamlaka ya nidhamu kwa watumishi wote walioajiriwa katika serikali za mitaa isipokuwa walimu Ncha Kali said: Nasema hawana mamlaka hayo, sana sana walipaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika... nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii. Hizo unazoita sheria wewe ulisoma wapi? Click to expand...
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,199 Reaction score 2,403 Mar 9, 2021 #42 Hannah said: Fikiria kufukuzwa kazi kisa elfu 50. Tamaa mbaya sana. Click to expand... Ajali kazini
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Mar 9, 2021 #43 Madiwani walio na Elimu ya zero wezi wa kura Nyumbu .. Wanamvuaje na kumfukuza Government servant
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Mar 9, 2021 #44 Sasa mnamkata mshahara na board loan nao wanamkata alafu mnategemea ataishi vipi kama sio kupiga kazi korofi kama hizo. By the way kumbe ku-deal na tezi dume uchochoroni ni bei rahisi namna hii! Yani operation kwa 50k? 🤣🤣
Sasa mnamkata mshahara na board loan nao wanamkata alafu mnategemea ataishi vipi kama sio kupiga kazi korofi kama hizo. By the way kumbe ku-deal na tezi dume uchochoroni ni bei rahisi namna hii! Yani operation kwa 50k? 🤣🤣