Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
Mi number Moja nakukubali sana mchizi wangu....
 
Umenikumbusha mbali sana jinsi mwalimu alivyo nizidi kete,kumpiga mimba na kumuoa binti ambae nilimtoa bikra na tulikuwa na ahadi ya kuoana.
Wanaosema bikra ni wako mwenyewe huwa nawachungulia na kusema iiiiiiiiiiiiiiii .
Hahahah
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kitu ambacho siwazi kukifanya ndio hiki cha kushoan sare.

Nipo chamani kwa mwaka wa 4 na miezi kadhaa ila sijawahi kufikiria kushona sare
Hahaha Kushona Sare ya Vitenge Huwezi kunishawishi hata kidgo
 
Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
Umenikumbusha Swaga za msukuma Bungeni 🤣🤣
 
Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
Uzinzi tu ndio unawaza hapo sio?
 
Mapenzi , kitu Cha kijinga sana🤔 na Appreciate wadada wenye sifa kama za Mercy na nawaona wajinga sana vijana wenye tabia ya mtoa mada🤔 legend hautakiwi kuweka Kila kitu wazi kwa gf, kwa uzoefu wangu, mm nikishamkula Binti kazi ni kwake kunibembeleza kwa bidii ili asinipoteze, unajua asali ni tam Ile tone la mwanzo🤭
 
Unamzingua Dogo akiona hilo Koti lako anajua ndio walewale.

Kifupi madem walikua wengi tuu sema Mercy kwa jamaa anavyomuelezea alikua dem mmoja mzuri sana afu kama kasabato flan hivi.
🤣🤣
Hapana Mercy KKKT sio msabato sema nywele tu ndo alikuwa Hafugi nyingj na wala alikuwa havai mawigi
 
Poa
 
Mkuu kwani unamlipa mshikaji? Au unadhani Hana kazi nyingine ya kufanya? Usichukulie hii mitandao seriously. Hawa watu “unaowaona” humu….they only exist online…

Hizi ni hekaya za mitandaoni….kuwa serious Kadogo.
 
Chief naona wewe ndio huelewi, mimi mwenyewe sometime huwa naandika nyuzi ndefu, huwa nafanya hivyo naweza tumia siku tano kuandika hlf ikikamilika natupia kwahiyo sio jambo geni,,,, mfano yeye hupost mara tatu au nne kwa siku, angekuwa anapost mara moja tu,hlf anatayarisha mzigo wa kesho kidogo kidogo kadri anavyopata mda.

Relux Chief usipaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…