Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Aisee,nimeumia sana kàma mercy alikuwa wangu vile,hv majuzi tu nilkuwa nakidem kipole kama mercy nilikuwa nakiamin zaid ya mke wangu lakin siku nilipokikuta na dogo wa kiume tena usiku wa saa nne na nikapishana nao na kidemu changu kimejikaza kabisa wakat kilikuwa mpaka kinaniita mume wake,nilichoka
 
Mkuu! Ukimaliza na Mimi nishushe nondo, nianze kuandaa kabisa niweke na code.... Uzi utakwenda kwa jina "JINSI CHUO KILIVYOHARIBU MAISHA YANGU" au "MAISHA YANGU YALIVYOHARIBIKA CHUONI" au "WASICHANA WALIVYOHARIBU MAISHA YANGU CHUONI". Umenivutia na kunishawishi sana na mimi nitoe ya moyoni.
Karibuni mchague TITLE wakuu [emoji3].
Ila Wanawake ni au basi[emoji3064]

Sent from my F-02L using JamiiForums mobile app
 
We chagua title....umwage nodo...sio unaanza kuleta porojo hapa.
 
Maisha ya chuo ni ya kiwaki sana
 
Sema dogo utakua niwa kuja mjinii
Sio wakuja mjini, huyu hajawahi kufika mjini, waliowahi kufika mjini hawawi washamba kupindukia kiasi hichi, hivi ameshindwaje hata kumwambia ukweli alipokosea ili kutatua matatizo yao, na pia kama mwanamke unampenda kweli linapotokea tatizo la kuhatarisha mahusiano yenu hushindwi kumwambia ukweli demu wako, huyu jamaa sio tu alikuwa hajui mapenzi, hata, na ukweli hajawahi kumpenda huyo demu, ni kisingizio tu baada ya kumkosa, hiyi kusema ukweli ni vitu vinakuja automatic kama mtu unampenda, wala huhitaji kushauriwa
 
yaaan mkeo Vs Kidem afu unakiamini kuliko Wife?Mwaisa unazingua Mwaisa unauza mechi,Unatoa Pakome unaingiza Kimzize
 
Mercy alikuwa anaenda kuliwa.

Siku hizi najikuta napata roho ngumu sana. Yani kuna jamaa alifumania nikaenda kununua mafuta ya alizeti ndoo ndogo.

Yule jamaa tungemkamata walahi angepakwa mafuta kuanzia kichwani mpaka unyayoni.

Mafuta mengine angepikiwa chips alishwe na mafuta yake ili utumbo wake ulainike.

....... dawa inachemka
 
Kwa hiyo merce alikua anaenda kutoa utelezi wewe ukahatibu....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…