Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Dem wako hakua na msimamo mkuu.

Sifa zoote ulizompa huko nyuma zimekuja kuharibika hapa. Yaani mpaka anapanga mipango ya kukucheat na uongo kibao, hapo huyo sio wako tena.

Na hilo jambo ulikua na uwezo wa kulizuia ila mapenzi yako ya kifilipino yakafanya ufe kijerumani na tai shingoni.
Unaacha kudeal na dem unaenda kuzozana na dokta, unaona text ya mgegedo unakausha eti hadi uambiwe. Sometimes wanawake hawapendi wanaume waoga waoga, ndo nyie kosa sio lako unaomba msamaha ili pisi isikasirike...

Pole sana dogo, i feel your pain.
 
Kaka,

Hadhira ya JF inapenda kusikia vitu wanavyovitaka. Upo uzi wa Ukahaba na Umalaya wa Kishua kule jukwaa la burudani. Jamaa kmtoa bikra dada yake na usiku huohuo kapiga bao kibao. Hakuna hata mmoja aliyempinga kwa kuwa WAPINGAJI wote WALIDINDISHA 😬 Ile story ni watu wanakula ganja, kashata za kikojozi, mitungi na mirungi na kutiana siku nzima. Hakuna hata mmoja anayepinga vitu vya ajabu vinavyosimuliwa, jinsi mama anavyoshuhudia binti yake akinyanduliwa na mumewe; jinsi mkwe anavyoliwa na Baba mkwe na mkwe anavyomsaga mama mkwe! Ule uzi kwa kweli, unalowanisha chupi za wadada na CHAPUTA wamepata msererekooooooo

Wewe uswasikilize kwa kuwa stress zao ndo chanzo cha yote haya. Endelea hadi mwisho. Hata InsiderMan walishampinga sana na hatimaye walikuja kumkubali tuuu
Broo uzi gani huo?

Naomba uni tag au ntumie link
 
Dem wako hakua na msimamo mkuu.

Sifa zoote ulizompa huko nyuma zimekuja kuharibika hapa. Yaani mpaka anapanga mipango ya kukucheat na uongo kibao, hapo huyo sio wako tena.

Na hilo jambo ulikua na uwezo wa kulizuia ila mapenzi yako ya kifilipino yakafanya ufe kijerumani na tai shingoni.
Unaacha kudeal na dem unaenda kuzozana na dokta, unaona text ya mgegedo unakausha eti hadi uambiwe. Sometimes wanawake hawapendi wanaume waoga waoga, ndo nyie kosa sio lako unaomba msamaha ili pisi isikasirike...

Pole sana dogo, i feel your pain.
Alivumiliana sana ila ile siku katoka likizo na kaweza kumdhibiti ili asiende kulala na Dokta lodge, then akaona text za Dokta kulaumu, alipaswa kumuonesha Mercy na achukue hatua stahiki ya kuachana au kuendelea.
 
Pole sana Ila shida kubwa ipo kwa messy siwezi kumuita Mercy kwa sababu alikuwa hana huruma haendani na jina lake yeye alikuwa messy..

Uamuzi ulikuwa kwake kama Refa kuimaliza mechi mapema ila akaona Afanye Mercy kwa Dr na Afanye Messy kwako..

Ila yote ni Mesi Haijalishi ni mercy au Messy
Messy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo Jumapili ulipitia maumivu makali sana.

..........Sema una moyo sana, Mwingine baada ya kuona zile sms siku umempokea Mesi angevunja hiyo simu na kubadiri sim card.

Mapenzi yanauma sana.
Mm ikishafika hii stage. Kama manzi ni pisi. Naishusha grade tu, then naendekea kua najipigia tu mpaka siku itakapo shtuka

Maaana nilishajua hata ukiacha utafute nyingine ni matter ya muda tu cycle ni ile ile.
 
Back
Top Bottom