Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Dem wako hakua na msimamo mkuu.

Sifa zoote ulizompa huko nyuma zimekuja kuharibika hapa. Yaani mpaka anapanga mipango ya kukucheat na uongo kibao, hapo huyo sio wako tena.

Na hilo jambo ulikua na uwezo wa kulizuia ila mapenzi yako ya kifilipino yakafanya ufe kijerumani na tai shingoni.
Unaacha kudeal na dem unaenda kuzozana na dokta, unaona text ya mgegedo unakausha eti hadi uambiwe. Sometimes wanawake hawapendi wanaume waoga waoga, ndo nyie kosa sio lako unaomba msamaha ili pisi isikasirike...

Pole sana dogo, i feel your pain.
 
Broo uzi gani huo?

Naomba uni tag au ntumie link
 
Alivumiliana sana ila ile siku katoka likizo na kaweza kumdhibiti ili asiende kulala na Dokta lodge, then akaona text za Dokta kulaumu, alipaswa kumuonesha Mercy na achukue hatua stahiki ya kuachana au kuendelea.
 
Messy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo Jumapili ulipitia maumivu makali sana.

..........Sema una moyo sana, Mwingine baada ya kuona zile sms siku umempokea Mesi angevunja hiyo simu na kubadiri sim card.

Mapenzi yanauma sana.
Mm ikishafika hii stage. Kama manzi ni pisi. Naishusha grade tu, then naendekea kua najipigia tu mpaka siku itakapo shtuka

Maaana nilishajua hata ukiacha utafute nyingine ni matter ya muda tu cycle ni ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…