Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Yaan mwanamke akikusaliti maana yake anakudharau, its a simple truth, sasa kama anakudharau kwann unahangaika kumtumia message nyingi na kumpigia simu??
 
[emoji848]
 
Kunafunzo hapa, good story
 
Daah!, Huu uzi unanikumbusha mbali sana kipindi niko chuo.

Nilishikaga cm ya dem na nikamtafuta jamaa alokuwa ananigongea... Jamaa aliwasha gari kutoka mkoa X usiku huo huo mpk nilipo for more than 8 hours kwa basi na akaja mkoani kwangu

Baada ya jamaa kuja na dem akaniacha geto (kumbuka tulikuwa tunakaa chumba kimoja) na kwenda kulala na jamaa lodge.

Mapenz ya chuo ni u-fu***
HAKUNA MAPENZI CHUO.

Nikipata nafasi nitakuja kuwasimulia yangu.

#Kataa ndoa
 

Mapenzi bila pesa ni uongo! Ingawa unaruhusiwa kujifariji kwa maneno au imani mbadala....
 
Wewe acha zako ebu shusha huo uzi .tunataka hiyo stori bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] inaelekea wewe ndio ulikua unamgongea jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…