Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Rule # 01
Never go back to a woman we cheated!
 
kachapwa mimba na kaachwa,
singo maza mwingine aliongezeka mtaani......
 
Aseeehhh
 
Huu uzi unatia hasira😂
Natamani nikuchape hata konzi kadhaa


Kijana upo kama mnyama capybara
kwa utaratibu wako unabembeleza bembeleza mno

Mimi nyufa zikianza tu kuonekana nishapeperuka zangu mapeeeema

Mai heart niliutunza kama almasi

Sheria namba moja na hii namshukuru sana kaka yangu(best friend) aliepitia chuo alinipa alisema

kijana mahusiano na mtu wa darasa lako ni marufuku

Ni MARUFUKU!!!”


zilikua sheria nyingi mbele huko ila hii alisisitiza sana
Alisema pia mahusiano usianzishe mwaka wa 2 wala wa3 yaanzie mwaka wa 1 akapendekeza yaishie wa 2

Wa tatu unachovya unasepa
Nashukuru mungu niliifata ile katiba
Niliepuka drama nyingi sana

Kuna njemba ilikula kibao wakati wa presentation😂😂😂

If that was me i could never recover from that stuff
I could never😁😁
 
Mwanamke akikuacha kuna maana moja tu - wewe ni chaguo lake la pili, kamwe usirudiane naye. Never compromise your manhood for a second spot.
 
Mwanangu ulishasafisha jina lako kwa episodes kadhaa zilizopita ila umerudi tena kwenye upuuzi.
 
Demu akishashika mimba ni kupiga tu chini, umuache dunia imfunze sasa. Wanatesekaga sana mbwa hao, yaani kifupi kushika mimba nje ya ndoa inawaonyeshaga kila rangi humu duniani.
 
Same applied to man!!!
I choose to disagree.

Saikolojia ya mapenzi ni tofauti sana kwa mwanaume na mwanamke.

Mwanamke hawezi ku-cheat kwa bahati mbaya. Huwa anafanya risk assessment. Mpaka anaamua ku-cheat maana yake yupo tayari kwa chochote utakachoamua kufanya. Na zaidi; hu-cheat na mwanaume anayempenda.

Ni tofauti kwa mwanaume. Mwanaume anaweza ku-cheat kwa bahati mbaya, bila kufanya risk assessment yoyote, na anaweza ku-cheat na mwanamke ambaye hana hisia naye.

This is why you can forgive a cheating man, but never a cheating woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…