DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
100%Pure..I choose to disagree.
Saikolojia ya mapenzi ni tofauti sana kwa mwanaume na mwanamke.
Mwanamke hawezi ku-cheat kwa bahati mbaya. Huwa anafanya risk assessment. Mpaka anaamua ku-cheat maana yake yupo tayari kwa chochote utakachoamua kufanya. Na zaidi; hu-cheat na mwanaume anayempenda.
Ni tofauti kwa mwanaume. Mwanaume anaweza ku-cheat kwa bahati mbaya, bila kufanya risk assessment yoyote, na anaweza ku-cheat na mwanamke ambaye hana hisia naye.
This is why you can forgive a cheating man, but never a cheating woman.
Bet what you afford to loose .Acha kubet mzee
Mapenz kaka ni upofuDeMostAdmired,
Pole kwa yaliyokukuta hasa changamoto ya afya ya moyo.
Japo hatukulaumu kwa mazingira uliyokuwa unapitia; lakini kumuacha Mary for Mercy after everything you had been through, was a grave mistake.
Ulipaswa umpende Mary maana she was there when Mercy couldn't. You should have reciprocated her love.
Otherwise, karma would fairly go after you.
This is absolute truth. I strongly second.Rule #2
If you feel like Going back to the cheater remember rule #1
Rule #3
Rule number #2 is Gold standard Rule and can never be broken
Ni kweli, wala sikulaumu.Mapenz kaka ni upofu
🥳🥳Hta km nilikuwa sina imani na watt wakike ila kuanzia muda huu imani ndio imepotea yote kabisaaaa kumbe hawa wapuuzi wakinza kucht ndio wanazidisha mapenzi...... shenzzzy kabisa!
baby shower🥳Tuendeleee......
Baada ya wiki moja tena Recho akanambia anahitaj kuniona nikamuliza kuna shida gani akanambia anashida zake binafsi. Tukapanga tuonanae geto kwake huyu Recho, geto kwake sio mbali na kwa Mercy.
Siku hiyo nipo kwa Recho hata hatujaanza stor Mercy akafika akatusalimia pale akakaa.
Nilivomuona Mercy nilipatwa na hasira isiyo ya kifani. Nilikuwa nasubiri nini kitafuata, Mercy akaniita "DeMostAdmired naomba msamaha sana kwa yote nilokufanyia ninaweza kujielezea na naamini utanielewa, mimi nakupenda sana". Kwa wazoefu mtanielewa, nilijikuta napatwa na hasira sana nikafungua mlango nikasepa zangu sikuongea chochote nikamwambia Recho asirudie tena kunikutanisha na Mercy waniache kwanza.
Kwa kiasi flan nikapata ahueni kwasbb niliona Mercy Sasa yamemshinda huko alikokuwa na kaona kuwa mimi ni wamaana.
Baada ya pale ndugu zangu zilikuwa ni cm na texts mfululizo kutoka kwa Mercy. Nilijikaza kama kwa wiki moja hivi then baadae nikaona haina shida ngoja nianze kumpokelea cm zake na kujibu texts zake.
Mawasiliano yalirudi na Mercy kwakuwa nilikuwa bado nampenda nikaamua nirudiane naye. Kimbembe kilikuja kwa Merry, Mercy aligundua kuwa nipo na Merry, akaniambia niachane naye. Mimi naye sikuwa na hiana nikamuweka pembeni Merry japo siku moja moja nilikuwa namtafuta tunapasha viporo.
Ndugu zangu speed alorud nayo Mercy kwangu ilikuwa sio ya kawaida, yani nilikuwa napewa mapenz ya premium version.
Nilikuwa natolewa out za kustukiza, mazawad yakutosha hakika nikaanza kukaa sawa japo kumbe tyr Ile shida ya moyo ilikuwa ishakuwa kubwa yani furaha nilikuwa nayo ila Ile shida ya kutokwa na jasho sana iliendelea. Nilikuwa najiskia vbaya sometimes na hii nikajua tu ni kwasababu ya trauma alonisabbshia Mercy.
Kuna mkasa ulitokea, kifupi ulikuwa ni ugomv mkubwa kati ya Mercy na Merry, Mercy alimfata Merry akampiga bit na Merry naye akakaza asee ilikuwa ni tatizo lakini mimi niliona Mercy analeta wivu wa kinafiki kwasababu yeye ndo alisababsha mpka nikamtafuta Merry. Washkaji na madem wengine class wakawa wananisihi nisimuache Merry kwani Mercy tyr alionekana ni mtu wa kijinga. Pamoja na watu kunisihi vile lakini bado nilikuwa siwasikii mwsho wa siku nikachagua kuishi na Mercy.
Siku zilisogea tukawa tunakaribia UE, nikaanza kuona dalili mbaya kwa Mercy.
Kifupi nilianza kuona dalili za mimba kwa Mercy, niliona amekuwa mchovu, kutema tema mate. Nikaona kabisa huyu atakuwa na mimba, ikabidi nimuulize kwasababu mzunguko wa Mercy nilikuwa naujua na kwamuda ambao tulikuwa tumerudiana naye baada ya kutoka kwa Dokta niliona kabsa kama ni mimba basi sio yangu hundred percent.
Nilipomuliza akanambia ataenda kupima, alipoenda kupima kweli bhna alikuwa na mimba.
Nikamuliza mimba ya nani, Mercy hakutaka kunidanganya alinambia kwamba mimba anahisi ni ya Dokta sio yangu.
See you.......
Tudondoshee ya kulaliaThis is absolute truth. I strongly second.
Haha...kakaa tetea wanaume wenzio bwanaI choose to disagree.
Saikolojia ya mapenzi ni tofauti sana kwa mwanaume na mwanamke.
Mwanamke hawezi ku-cheat kwa bahati mbaya. Huwa anafanya risk assessment. Mpaka anaamua ku-cheat maana yake yupo tayari kwa chochote utakachoamua kufanya. Na zaidi; hu-cheat na mwanaume anayempenda.
Ni tofauti kwa mwanaume. Mwanaume anaweza ku-cheat kwa bahati mbaya, bila kufanya risk assessment yoyote, na anaweza ku-cheat na mwanamke ambaye hana hisia naye.
This is why you can forgive a cheating man, but never a cheating woman.
Tupe cha kulaliaUZI UNAKARIBIA KUISHA HATA HIVYO NAMIMI NIMECHOKA NATAMANI NIMALIZIE STORY SHORT AND CLEAR LAKINI NAONA KAMA MTAKOSA UTAMU.
NIMEJIFUNZA MENGI PIA KUTOKA KWA WALIMWENGU WAJF. ACHA TU NIKAE KIMYA ILA MWISHONI NITAWATAG WATU AMBAO NI VICHWA VIBOVU AMBAO MWANZO MWISHO WAO WALIKUWA NA KAZI YA KUNITUKANA NA KINIDHARAU TU.
nss ? kama sijakoseaShule niliyosoma O-level tulikuwa tunafuga ng'ombe. Siku za week kulikuwa na mchungaji wa shule; weekends tuliwekeana zamu ya kuchunga kwa madarasa.
Shule yetu ilikuwa katikati ya Chuo Kikuu kimoja maarufu hapa nchini. Siku moja tukiwa tunaenda kuchunga tukakutana na wanachuo - msichana na mvulana.
Ajabu wote wakapiga kelele na kukimbia ng'ombe. Eti wanawaogopa. Ng'ombe ambao hata hawana shida yoyote!
This can tell of what we (men) have become. Sad!
Very good story broh naimani ni kweli kabisaaUZI UNAKARIBIA KUISHA HATA HIVYO NAMIMI NIMECHOKA NATAMANI NIMALIZIE STORY SHORT AND CLEAR LAKINI NAONA KAMA MTAKOSA UTAMU.
NIMEJIFUNZA MENGI PIA KUTOKA KWA WALIMWENGU WAJF. ACHA TU NIKAE KIMYA ILA MWISHONI NITAWATAG WATU AMBAO NI VICHWA VIBOVU AMBAO MWANZO MWISHO WAO WALIKUWA NA KAZI YA KUNITUKANA NA KINIDHARAU TU.
I bet , huyu jamaa ni msukumaKuna mafala halafu kuna wewe fala pro max
Yani dem kakucheat sababu huna pesa, akaachwa huko anarudi kwakl then unamuacha dem aliekupendea hali yako unarudiana na hilo gumegume
CC DeMostAdmiredTudondoshee ya kulalia
Haha... Sitetei. I know deep down unajua kabisa nimesema ukweli. 😄Haha...kakaa tetea wanaume wenzio bwana
Sio msukuma mimiI bet , huyu jamaa ni msukuma
aka SMSNnss ? kama sijakosea