DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mi naamini sio ya kutunga, kwa facts kadhaa..Nliwaambia hii ni ya kutunga mkabisha. Hakuna uhalisia wa ayasemayo huyu dogo.
Na uhakika hata saivi tunavochekana hapa jf watu wananizonga ila kuna mtu saiz anaendeshwa na mapenz hakuna mfano pengine hata mimi afadhari haf yupo ananivimbia mimi hapa wakat yake yanamtoa dam huko.Kuna wakati mapenzi yanatufanya kama watoto..
Kubali ama usikubali Wote tumepita Situation yake..Inaweza ikawa different Story ila lazma kwemye kichwa ukiiwaza unasema dah na mimi niliwahi kuwa zuzu..
Najua tunayo ila tunazificha na kudhihaki wwngine..
Kila Jambo kwemye maisha yetu tunayopitia ndo hutufanya kuwa imara na mashujaa na hutupa funzo ambalo ni aghalabu sana kurudia makosa hayo..
Na ndo maana wanasema "Past is our teacher.."
Ukimuuliza Kila mtu lazma ana story ambayo hajawahi kumwambia mtu yoyote kuhusu Mapenz hivyo kumcheka kijana wangu DeMostAdmired kwa sababu yeye kaamua kuidhihirisha kwa watu sio sawa
Kaaahhh we jamaa Mungu akuweke sana duhhhhTuendeleee......
Nilipoa kama maji ya mtungini, hii taarifa ilinivunja moyo kwa mara nyingne tena safari hii nilivunjika kwa kishindo kikubwa. Mercy alinambia nimuache kwanza apumzike maana alikuwa hayupo sawa pia nayeye. Basi nikamuacha nikalala zangu pembeni, baadae nikamuliza kwahyo itakuwaje kuhusu mimba akanambia hajui la kufanya kwa muda ule.
Siku zikasogea, lakini nikajitahidi nisiwe mbali na Mercy ili asije kufeli maana tulikuwa tunakaribia UE ya mwisho.
Ili kumfanya awe na furaha nilimuahidi nitakuwa naye bega kwa bega hata kumuoa nitamuoa hvohvo na mimba yake lakini moyoni nilikuwa najisemea siwez kuoa mtu mwenye mtoto huku baba wa mtoto bado yupo hai huko ni kucheza na moto.
HAPA NILIONA KABISA DOKTA KANIHARIBIA MIPANGO YANGU NA MERCY KWASABABU YULE TAYARI AMESHAOA NA KWA HAKIKA KUMPA MERCY MIMBA ILIKUWA NI MAKUSUDI ILI TU ANIONESHE YEYE NI ZAIDI YANGU. HAYA NDO YALIKUWA MAWAZO YANGU.
Tulifanya UE tukamaliza vizur huku Mercy akiwa anaendelea vzr na ujauzito wake. Tulivomaliza UE tukakaa sasa ili nijue what's next, nilimuliza Mercy anafikiria nini akasema anaona bora aitoe ile mimba ili apate kuishi namimi kwa uhuru.
Hapo tushamaliza chuo tyr tuna kama siku mbili.
Tulikuwa tunamalizia ngwe ya pili ya research tukusanye then tupotee makwetu.
Lile wazo la Mercy kutoa ujauzito sikuliunga mkono nikakataa kabisa nikamwambia ni hatar anaweza hata akapoteza maisha.
Mercy alikataa katu katu akasema ni lazima aitoe kwani alihitaji awe free tuanze maisha.
Mimi nilishindwa kumzuia, lakini sikushiriki katika kuitoa ile mimba. Mercy alifanya yeye kama yeye sikutaka kujiingiza katika hii dhambi.
Mercy alienda hospital ilikuwa ni pale pale mtaani hakwenda town, alienda kwa nurse mmoja akamshaur kwasabb ujauzito bado ni mchanga sana hautasumbua.
Sikujua alimpa madawa gani Mercy alikunywa, siku ile hatukulala maana alikuja kunywea mageton kwake, hali ilibadirika akaanza kuumwa na tumbo mwisho wa siku akanichek na kwa jinsi alivokuwa anaongea alionekana kuzidiwa sana.
Nilienda nikamkuta anagaa gaa chini, nikashindwa nianzie wapi. Nikamuliza shida nini ndo akanambia amemeza madawa ya abortion. Nikamuliza kapewa na nani, nilimuliza ili nijue naanzia wap kumsaidia, alinielekeza yuel nurse nikamfaham. Na hapakuwa mbali na pale nikaona kumpigia cm nitachelewa nikaona niped baiki mpka pale kwenye kidispensari.
Nilimkuta nurse nikamueleza na nikamsihi twende fasta, alichukua madawa dawa flan na vifaa kadhaa tukaongozana mpka kwa Mercy. Tulipofika tulimkuta bado anaugulia maumivu, nilimpa nurse nafas amhudumie Mercy.
Baada ya kama nusu saa akatoka akanambia atakuwa powa ni shida ya kawaida tu, akasema anawahi kwende kituo chake cha kazi. Alinihakikishia kuwa Mercy atakaa sawa kwahyo nikapata faraja maana niliwaza kama Mercy atapata shida zaid mimi nitakua answerable.
Ilipita kama lisaa Mercy akawa kapata nafuu, nikamuliza anahitaj nini akasema yupo sawa. Nilimpa tu maji nikamfatia na chips akapiga then tukalal.
Kesho yake Mercy alinambia kuwa anahisi mimba imekataa kutoka. Nikamuliza kwanini akasema yeye anajua kwaiyo anahisi hivo. Kumbe kweli ile mimba iligoma kutoka na baada ya jaribio kufeli nilimkanya Mercy aache kabisa kuitoa ile mimba.
Tulimalizia research zetu tukakusanya sasa tukawa free kuondoka makwetu. Siku mbili kabla ya kuondoka Mercy alinambia twende kwao akanitambulishe, nilifikiria nikaona Mercy hayupo sawa yupo stressed. Maana ni ngum dem aende kukutambulisha kabla wewe kidume hujaenda kumtambulisha kwao.
Kifupi Mercy alikuwa anahitaj kabisa kuishi na mimi na alikuwa tyr twende kwao akanitambulishe.
Nilimuliza kuhusu Dokta, Mercy alinijibu hatak hata kumsikia lakini still Dokta alikuwa anamaumbua bado Mercy na alikuwa anahitaj kujua ujauzito wake unaendeleaj na alikuwa anamsihi pia asithubutu kuuutoa.
See you.......
Usinisahau.UZI UNAKARIBIA KUISHA HATA HIVYO NAMIMI NIMECHOKA NATAMANI NIMALIZIE STORY SHORT AND CLEAR LAKINI NAONA KAMA MTAKOSA UTAMU.
NIMEJIFUNZA MENGI PIA KUTOKA KWA WALIMWENGU WAJF. ACHA TU NIKAE KIMYA ILA MWISHONI NITAWATAG WATU AMBAO NI VICHWA VIBOVU AMBAO MWANZO MWISHO WAO WALIKUWA NA KAZI YA KUNITUKANA NA KINIDHARAU TU.
PoaWewe ni zaidi ya fala
NishawekaUsinisahau.
Em tuache na stry yetu babu🥴🥴Someni mburudike inasaidia kupoteza muda. Hii ni Chai. Hakuna Chuo ambacho atasoma serious anaenda mpitia msichana mzuri na baiskeli. Labda chuo cha Veta au Ualimu huko Nanjilinji. This is fiction totally.
Inanifaidisha nini nikitunga?Someni mburudike inasaidia kupoteza muda. Hii ni Chai. Hakuna Chuo ambacho atasoma serious anaenda mpitia msichana mzuri na baiskeli. Labda chuo cha Veta au Ualimu huko Nanjilinji. This is fiction totally.
Hii najua umefanyaje 😀😀Hizi picha dogo una zidownload Tiktok. Acha uongo. Wewe hadithia tu kama stories nyingine usilazimishe ionekane kweli.
picha hii nimeitoa ulikoitoa hiyo yako.
View attachment 2916433
Hawez kuzikuta nilizihifadhi kwenye google drive yangu, jaribu hata wew ukizipata nakuruhusu njoo uzimwage hapa jamvini. Huyo jamaa ni kichwa kibovuHii najua umefanyaje 😀😀
Umechukua picha uka run Image search ya Google 🤣🤣🤣
Sio mimi huyuHizi picha dogo una zidownload Tiktok. Acha uongo. Wewe hadithia tu kama stories nyingine usilazimishe ionekane kweli.
picha hii nimeitoa ulikoitoa hiyo yako.
View attachment 2916433
Ww chizi maarifa acha kutuharibia story bana na wwHizi picha dogo una zidownload Tiktok. Acha uongo. Wewe hadithia tu kama stories nyingine usilazimishe ionekane kweli.
picha hii nimeitoa ulikoitoa hiyo yako.
View attachment 2916433
Maliza hii story leo leoSio mimi huyu
Sasa hapa mwishoni unaanza kuharibu stori....pumzika dogo utaendelea kesho.
Mkuu mimi nina uwezo wa kuzipata ila siwezi kufanya hivyo Kw sababu haipendezi..Hawez kuzikuta nilizihifadhi kwenye google drive yangu, jaribu hata wew ukizipata nakuruhusu njoo uzimwage hapa jamvini. Huyo jamaa ni kichwa kibovu
Ni usmart wa kawaida sana. Anatunga kulingana na comments flan flan na ana twist kiasi pia. Mi nimempa mtoto wangu wa darasa la 6 tu kagundua. Amecheka sana.Mi naamini sio ya kutunga, kwa facts kadhaa..
Ingekuwa ya kutunga Dogo angechange gia angani na kufata Watu wanataka nini..
Yes. Siiondoi. Itabaki hapa hapa...Em tuache na stry yetu babu🥴🥴
Mwanangu ulishasafisha jina lako kwa episodes kadhaa zilizopita ila umerudi tena kwenye upuuzi.
Ila msiseme hivyo mwanangu, Mapenzi upofu kwa kweli. Me simlaumu sana maana mwenyewe nina Haika wangu ananipeleka puta, hahaKuna mafala halafu kuna wewe fala pro max
Yani dem kakucheat sababu huna pesa, akaachwa huko anarudi kwakl then unamuacha dem aliekupendea hali yako unarudiana na hilo gumegume