Eti wanasema nae anafamiliaNa hao waliomrudisha kazini wana roho mbaya zaidi. Walipaswa kumfungia leseni asiwe tena daktari
Upumbavu wa Hali ya Juu sana huu na inakera sanaWakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake.
Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na kesi ya ajabu ya kumfumua nyuzi mgonjwa aliyemshona kisa alikosa hela ya kumlipa kwa muda ule, maana mama wa watu alikuwa amepata ajali kule Kerenge.
Baada ya kuharibu Kerenge walimpa likizo huku akiendelea kula mshahara wake kama kawaida. Baadaye wakampa cheo kufanya kazi kule hospitali mpya na wakati wa uzinduzi kuna waliolalamika kuwa ukatili wake wa kukataa kutoa huduma kama huna hela uliendelea bila woga.
Sasa amekuja Hale wananchi watapona au wameletewa ugonjwa wa ziada?
Adhabu ya uhalifu ni kukabidhiwa kituo kipya?
Hatujasahau tunawaangalia tu.
Pia soma: Mapya yaibuka: Tukio la daktari aliyefumua mshono wa mgonjwa lilitokea mwezi Julai
Acha upuuziMpeni onyo uenda amebadilika Kawa mtu mwema,asipobadilika mchukulieni hatua
Alitakiwa kujua hilo kabla hajaharibuEti wanasema nae anafamilia
Madaktari wa Tamisemi [emoji16][emoji16][emoji16]Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake.