DOKEZO Daktari aliyefumua nyuzi za mgonjwa kisa hakuwa na hela ya kulipa kaletwa Hale, adhabu ya uhalifu ni kuhamishiwa kituo kipya?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu tafuta Picha yake tupost kulaani tukio hili.
Rais ana kura ya VETO kwa mtumishi katiri kama huyu anapaswa kutoa amri afukuzwe kazi kwa Maslahi ya Umma na kuepusha Taharuki.
Endapo hajaondolewa pazeni sauti, huyo anapaswa awe Vingunguti kuchuna Ng'ombe sio Daktari wa binadamu.
 
Huyo dokta naye hamzano unashindwaje ku handle issue kama hiyo. Anafanana na JPM aliyechoma vifaranga
 
Duniani Kuna serikali zina roho mbaya aisee
Maana huwezi kumlaumu mganga bali top huko
 
Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake.

Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na kesi ya ajabu ya kumfumua nyuzi mgonjwa aliyemshona kisa alikosa hela ya kumlipa kwa muda ule, maana mama wa watu alikuwa amepata ajali kule Kerenge.

Baada ya kuharibu Kerenge walimpa likizo huku akiendelea kula mshahara wake kama kawaida. Baadaye wakampa cheo kufanya kazi kule hospitali mpya na wakati wa uzinduzi kuna waliolalamika kuwa ukatili wake wa kukataa kutoa huduma kama huna hela uliendelea bila woga.

Sasa amekuja Hale wananchi watapona au wameletewa ugonjwa wa ziada?

Adhabu ya uhalifu ni kukabidhiwa kituo kipya?

Hatujasahau tunawaangalia tu.

Pia soma: Mapya yaibuka: Tukio la daktari aliyefumua mshono wa mgonjwa lilitokea mwezi Julai
Upumbavu wa Hali ya Juu sana huu na inakera sana
 
Screenshot_20240227-210415_Chrome.jpg
 
Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake.

Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na kesi ya ajabu ya kumfumua nyuzi mgonjwa aliyemshona kisa alikosa hela ya kumlipa kwa muda ule, maana mama wa watu alikuwa amepata ajali kule Kerenge.

Baada ya kuharibu Kerenge walimpa likizo huku akiendelea kula mshahara wake kama kawaida. Baadaye wakampa cheo kufanya kazi kule hospitali mpya na wakati wa uzinduzi kuna waliolalamika kuwa ukatili wake wa kukataa kutoa huduma kama huna hela uliendelea bila woga.

Sasa amekuja Hale wananchi watapona au wameletewa ugonjwa wa ziada?

Adhabu ya uhalifu ni kukabidhiwa kituo kipya?

Hatujasahau tunawaangalia tu.

Pia soma: Mapya yaibuka: Tukio la daktari aliyefumua mshono wa mgonjwa lilitokea mwezi Julai
Madaktari wa Tamisemi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom