BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, ambaye ni Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) imeendelea Aprili 14, 2025, ambapo shahidi wa pili kati ya sita upande wa Jamhuri ametoa ushahidi wake.
Shahidi huyo (jina linahifadhiwa) ameiambia Mahakama kwamba katika vipimo alivyofanya kwa mtoto huyo anayedaiwa kulawitiwa, alibaini ameharibika kwa kiwango kikubwa sehemu zake haja kubwa.
Shahidi huyo ambaye ni Mtaalamu wa Afya aliyetoa majibu ya vipimo baada ya mtoto kufikishwa kwenye hospitali (jina linahifadhiwa) ametoa ushahidi wake kwa muda wa takribani saa tatu.
Baada ya ushahidi wake kukamilika na kufanyiwa 'Cross-Examination' na Wakili wa Utetezi, Mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka leo Aprili 15, 2025 ambapo shahidi wa tatu upande wa Jamhuri anatarajiwa kutoa kutoa ushahidi wake.
Pia Soma:
~ Kesi inayomkabili Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti mtoto yaahirishwa hadi Machi 24, 2025
~ Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake
~ Ushahidi wa Kesi ya Shule ya Msingi Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025
~ Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata hudhuru
~ Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?
~ Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani