Adhabu yake according to penal code 16 akikutwa na hatia ni kifungo cha miaka 30 jera ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Kwa ushahidi wa daktari tu, huyo mwalimu ameenda...Anyongwe kabisa
Zikowapi kaka 🥺Dah mbususu zote hizi ila watu bado
No reform no electionZikowapi kaka 🥺
akikutwa na hatia ni kifungo cha miaka 30 jera ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo.Adhabu yake according to penal code 16 akikutwa na hatia ni kifungo cha miaka 30 jera ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Kwa ushahidi wa daktari tu, huyo mwalimu ameenda...
SURA YA 16Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, ambaye ni Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) imeendelea Aprili 14, 2025, ambapo shahidi wa pili kati ya sita upande wa Jamhuri ametoa ushahidi wake.
Shahidi huyo (jina linahifadhiwa) ameiambia Mahakama kwamba katika vipimo alivyofanya kwa mtoto huyo anayedaiwa kulawitiwa, alibaini ameharibika kwa kiwango kikubwa sehemu zake haja kubwa.
Shahidi huyo ambaye ni Mtaalamu wa Afya aliyetoa majibu ya vipimo baada ya mtoto kufikishwa kwenye hospitali (jina linahifadhiwa) ametoa ushahidi wake kwa muda wa takribani saa tatu.
Baada ya ushahidi wake kukamilika na kufanyiwa 'Cross-Examination' na Wakili wa Utetezi, Mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka leo Aprili 15, 2025 ambapo shahidi wa tatu upande wa Jamhuri anatarajiwa kutoa kutoa ushahidi wake.
Pia Soma:
~ Kesi inayomkabili Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti mtoto yaahirishwa hadi Machi 24, 2025
~ Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake
~ Ushahidi wa Kesi ya Shule ya Msingi Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025
~ Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata hudhuru
~ Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?
~ Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani
Mkuu nikwambie kitu, miaka 30 jera si mchezo. Ni ukaidi wa watanzania wakihemukwa na kuongozwa na tamaa za mwili mpaka kufikia kufanya kitendo kama hiko. Mfungwa hujuta sana na kuapa hatakuja kurudia pale mh. Hakimu anapotaja adhabu. Ila kwasababu kenge hasikii mpaka damu za masikioni zimtoke wacha adhabu ziwe kali zaidiakikutwa na hatia ni kifungo cha miaka 30 jera ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo.
Hii kauli huwa inanitatiza sana sababu adhabu kama hizi zinatolewa kwa makosa ya aina ile ile lakini vitendo kama hivyo vinaendelea kutokea mara kwa mara, maana yake hakuna fundisho linalopatikana kwa wanaobaki uraiani
Adhabu ibadilishwe iwe kali sana na itekelezwe kwa uwazi
Subiria walimu wa Jf waje kumtetea mwalimu mwenzao,Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, ambaye ni Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) imeendelea Aprili 14, 2025, ambapo shahidi wa pili kati ya sita upande wa Jamhuri ametoa ushahidi wake.
Shahidi huyo (jina linahifadhiwa) ameiambia Mahakama kwamba katika vipimo alivyofanya kwa mtoto huyo anayedaiwa kulawitiwa, alibaini ameharibika kwa kiwango kikubwa sehemu zake haja kubwa.
Shahidi huyo ambaye ni Mtaalamu wa Afya aliyetoa majibu ya vipimo baada ya mtoto kufikishwa kwenye hospitali (jina linahifadhiwa) ametoa ushahidi wake kwa muda wa takribani saa tatu.
Baada ya ushahidi wake kukamilika na kufanyiwa 'Cross-Examination' na Wakili wa Utetezi, Mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka leo Aprili 15, 2025 ambapo shahidi wa tatu upande wa Jamhuri anatarajiwa kutoa kutoa ushahidi wake.
Pia Soma:
~ Kesi inayomkabili Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti mtoto yaahirishwa hadi Machi 24, 2025
~ Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake
~ Ushahidi wa Kesi ya Shule ya Msingi Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025
~ Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata hudhuru
~ Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?
~ Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani
Kulawiti ni kifungo cha maishaAdhabu yake according to penal code 16 akikutwa na hatia ni kifungo cha miaka 30 jera ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Kwa ushahidi wa daktari tu, huyo mwalimu ameenda...
Kuna mtu kaama huyu alisikika kutenda kosa kama hili MbagalaKesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39),