Daktari aliyemfanyia vipimo Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa na Mwalimu wake, asema "Nilimkuta ameharibika sana"

Ukatili dhidi ya watoto hauvumiliki hata kidogo. Naamini haki itatendeka. Akifungwa kifungo cha maisha, itapendeza sana.
 
Ningekuwa baba wa mtoto kabla ya huyo firauni kufikishwa Mahakamani tayari ningekua nimeshampeleka kwenye Gereza langu, siwezi kuzaa mtoto uje umvue uanaume wake nikuchekee
Kisha na wewe ungejiua au uko tayar kuozea selo?
 
Alafu anakuja mpumbavu wa Masjid na shekh mandazi ana walaani mashoga bila ya kujua wanatokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…