Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

Huyo trafc hajanya kweli hapo maana jinsi ka Dr kalivyombana nahisi ubwbwa ulimwagika kabisa 😀😃😄😀😃😄😀😃😃😄😄🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🧎🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️
 
Sheria isiwe ya kibaguzi ndio kitu cha Kwanza.

IKisha kuwa ya kibaguzi ndio inaleta hasira na mengineyo.
Pili katika Hali ilivyo Barabara hiyo sasa hivi na matengenezo na Magari mengine yanapita wewe ulikopita kisa wewe huna J , ya Jaji, JWTZ, PT,UT , STN, TZ Zetu zile nk , au Mabasi yetu ya DAR Tanga,Arusha au Daladala, ndio unawekwa kando umevunja sharia
 
Huenda jamaa alijihami baada ya jambo sina hakika kama jamaa alijiamulia tuu kumkwida afande bila chanzo tatizo wengi mnakimbilia kwenye mwisho bila kuangalia mwanzo wa tatizo na kuishia ku conclude alimchomoloea funguo tu. tujifunze kujua vyanzo ili kuepusha matatizo mana funguo tu haingii akilini apande na hasira vile kwa nature ya mwanadamu hasa aliye staarabika kama na mwenye maadili kulingana na kazi yake kama doctor huyu.
 

Wanafiki nyinyi 😡

mnapenda Polisi wapigwe lkn siku yakikukuta mbio kwa Polisi wakaokee Jahazi❗️❗️

ndiomana na Polisi Mkijichanganya kwao lazima kwanza
wakutoe Upepo atakama umeibiwa gari 🫎

Mana adabu hamuna kwao✍️
 
Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react

View attachment 3666170
Kinachokera zaidi mtu anachomoa funguo ya gari lako halafu anaendelea na mambo yake huku wewe unachelewa kwenye shughuli zako. Huu ni upumbavu.

Mimi ndiyo maana siku zote nimekuwa nikisema humu jukwaani, hawa askari wangeondolewa barabarani sababu umuhimu wao ni mdogo sana. Bora zingewekwa kamera na check points chache, badala ya kuwajaza barabarani hawa wapenda rushwa.

Hawajawahi kuwa waelewa!
 
Kila mtu anatamba na ni mbabe kwenye eneo lake.

Polisi, ukiibiwa, Daktari ukiumwa, Mwl ukitaka kusoma, engineer ukitaka kujenga nk.

Hakuna aliye muhimu kuliko mwingine
 
Traffic wanajifanyaga wababe sana sasa unachomoaje funguo kwenye gari wasomi wengi sio mafala tutawapiga sana nyie vilaza
Kachomoeni za bodaboda huko
 
Ndiyo na barabara yenyewe huenda anapitaga kila siku. Itakuwa alimvumilia siku nyingi mno. Hii vita haishi Leo.
 
Kuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
Unajuaje kama askari hakumprovoke?bahati mbaya linapokuja suala la raia against police rain hana haki kabisa ni kama vile ameshindana na Mungu.Itakuwa vema upande wa daktari nao ungepewa nafasi ya kusikilizwa hata kama hukumu imeshaandaliwa na amri zimekwisha tolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…