Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

Mkuu hayajakukuta,ila ukumbuke Dr naye ni binadamu
Traffic naye ni binadamu na alikua kwenye majukumu yake sio swala la ni nani yamemkuta swala ni uwezo wa kucontroll hisia za kupaniki kufikia walipofikia sasa mkuu huoni Dr anajiweka sehemu mbaya zaidi kupigana na askari tena mwenye uniform,
 
Huko Daslam hawachukui leseni,wanachomoa funguo?

BTW: Dhihaka za Bwana Dotto magari kwa wasomi kumbe ni ukweli mchungu!!

Specialist ana push Runx sijui Allex hiyo!!😀
 
Rudia dose ugonja unakuzid
Wanafiki nyinyi 😡

mnapenda Polisi wapigwe lkn siku yakikukuta mbio kwa Polisi wakaokee Jahazi❗️❗️

ndiomana na Polisi Mkijichanganya kwao lazima kwanza
wakutoe Upepo atakama umeibiwa gari 🫎

Mana adabu hamuna kwao✍️
unakuzidi
 
Baada ya kupelekwa kituoni,Dr kachezea vitasa kiasi cha kuhitaji ventilator kupumua!😀

Ndiyo mashambulizi yanayozungumziwa.
😀Okey, nilijua zile picha zilizotapakaa mitandaoni, ambazo zinaonyesha afande kagandamizwa.
 
Pole sana Doctor kwa kadhia uliyoipata wakati ukienda kuokoa uhai wa watu......Mungu akufanyie wepesi.
 
Unaweza kuta askari ndio alinza kumpiga Dr.Doctor akareact lakini ni kama kwenye mpira mtu anakupiga ngumi ukirudishia refa akikuona anakupa umeme haanzi pale mlikoanzia .Tumeona tukio kuanzia sehemu ambayo askari ameshakula mweleka.Je kabla ya hapo nani alimwanza mwenzake siamini kama Dr.angefika ile level kama hakuwa ametwezwa vya kutosha.

Nasaha yangu leo Askari nao wajue wanadeal na binadamu sio farasi hivyo hata hawa binadamu wanamioyo inayoumizwa na kukasirika Sana sometimes.
 
Back
Top Bottom