Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Mwanaume unaitwa makebokwa wewe unaepiga makelele mitandaoni na ID feki wala usihofu, uko salama
siku ukijichanganya mtaani ukaanza kulopolopoka kama unavyofanya humu ndio muda wako wakufikiwa
Ukiibiwa Polis wanafanya nini? Tuwe wakweli kabisa, Polis ataenda kutafuta mali zako zilizoibiwa?Kila mtu anatamba na ni mbabe kwenye eneo lake.
Polisi, ukiibiwa, Daktari ukiumwa, Mwl ukitaka kusoma, engineer ukitaka kujenga nk.
Hakuna aliye muhimu kuliko mwingine
Sasa Polisi ni kuchomwa sindano za vichwani tu. Kumbe walimpiga mwanetuKuanzia leo Polisi wajiandae kushonwa bila ganzi wakiumia, wanamnyanyasa daktari!
Nahisi ndicho kitakachofuata.Kuanzia leo Polisi wajiandae kushonwa bila ganzi wakiumia, wanamnyanyasa daktari!
Nikilazwa na kuugua si shida. Mimi ni binadamu. Mimi ni Daktari.Subiri ulazwe au uugue
Afrika tumelaaniwa! Unapiga mtu atakeyekuja kuokoa uhai wako na familia yako🚮🚮Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
View attachment 3666170
***** mambo yako safi utakuwa unadanga lenye hela unajiita matawi ya juu unahudumiwa vizuriMwanaume unaitwa makebo View attachment 3666386
Sedi weldi dwelaziBongo wagonjwa wanaponaga natural bila kutibiwa
Polisi kwanza ndio wanashirikiana na mwizi kuuza na kula pesa za mali zako. Mfano mdogo tu simu nyingi wameuza na kula hela na wezi achilia mbali mali kubwa kubwaUkiibiwa Polis wanafanya nini? Tuwe wakweli kabisa, Polis ataenda kutafuta mali zako zilizoibiwa?
Mkuu hayajakukuta,ila ukumbuke Dr naye ni binadamuKuwa specialist haikufanyi uvunje sheria za barabarani hata kama polisi alitumia nguvu kubwa,trafic alikua katika majukumu yake,tuchukulie tu Dr angekua katika mwendo kasi na kukosea barabara na kuvamia watu na kuua katik harakati ya kumuamhai mgonjwa angalaumiwa nani?DR angetumia ustarabu tu kulimaliza,ukiwa na elimu ya juu uwe tayari kutatatua mambo kwa akili sio kama wapiga debe
Hayajakukuta mkuuNi specialist ambaye ni mpumbavu aliyekosa busara.
Haiwezi kunikutaHayajakukuta mkuu
Weka akiba,Kuna mambo unaweza yasikia kwa wenzako TU,lakini siku ukayakuta yapo ndani mwakoHaiwezi kunikuta
Kuanzia leo Polisi wajiandae kushonwa bila ganzi wakiumia, wanamnyanyasa daktari!
Naomba majibu ya swali langu, Mkuu.Kwamba unahisi natetea uhalifu hapa?
Rudi kwenye Ukristo wewee.Kuwa polisi kunakupa kinga ya kuvaa jezi ya yanga na kuingia mtaani kupiga risasi raia majumbani mwao?