Traffic naye ni binadamu na alikua kwenye majukumu yake sio swala la ni nani yamemkuta swala ni uwezo wa kucontroll hisia za kupaniki kufikia walipofikia sasa mkuu huoni Dr anajiweka sehemu mbaya zaidi kupigana na askari tena mwenye uniform,Mkuu hayajakukuta,ila ukumbuke Dr naye ni binadamu
Sio jambo la kumpiga traffic akiwa kazini.Weka akiba,Kuna mambo unaweza yasikia kwa wenzako TU,lakini siku ukayakuta yapo ndani mwako
Baada ya kupelekwa kituoni,Dr kachezea vitasa kiasi cha kuhitaji ventilator kupumua!😀😀Daktari aliyeshambuliwa na Polisi?..mbona kama Polisi ndiyo anadundwa?.
Kua polisi hakukuzuii kutandikwa na walimwenguKuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
asikar aombe msamaha tu yaishe.Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
View attachment 3666170
Sheria ni msumeno.! Kama amevunja Sheria ashughulikiwe kwa taratibu zote za kisheriaAachiwe mara moja akatibu wagonjwa.
Kuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
unakuzidiWanafiki nyinyi 😡
mnapenda Polisi wapigwe lkn siku yakikukuta mbio kwa Polisi wakaokee Jahazi❗️❗️
ndiomana na Polisi Mkijichanganya kwao lazima kwanza
wakutoe Upepo atakama umeibiwa gari 🫎
Mana adabu hamuna kwao✍️
😀Okey, nilijua zile picha zilizotapakaa mitandaoni, ambazo zinaonyesha afande kagandamizwa.Baada ya kupelekwa kituoni,Dr kachezea vitasa kiasi cha kuhitaji ventilator kupumua!😀
Ndiyo mashambulizi yanayozungumziwa.
itakuwa ilienda ikawa vice versa😀Daktari aliyeshambuliwa na Polisi?..mbona kama Polisi ndiyo anadundwa?.
Traffic yuko chini anakamuliwa pambaffAisee ndio maana nilijua tu, speshalisti kachoka hivo anaendesha ki vitz, angetutia aibu sana kama angekuwa kobaz wazee hela
View attachment 3666213