meku7
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 375
- 266
Asalam wana Member wote,
Kuna kijana(Me) ana umri wa miaka 25, tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo, ni mhitimu wa chuo kikuu kimoja wapo hapa Dsm.
Baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo.
Jana alienda kuonana na Doctor baada ya kumueleza tatizo lake, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex.
Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aoe.
Anaitaji ushauri wenu, Mimi nimeshindwa. Nimshauri nini?