Daktari amshauri akafanye mapenzi kama tiba

Daktari amshauri akafanye mapenzi kama tiba

meku7

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
375
Reaction score
266
Asalam wana Member wote,

Kuna kijana(Me) ana umri wa miaka 25, tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo, ni mhitimu wa chuo kikuu kimoja wapo hapa Dsm.

Baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo.

Jana alienda kuonana na Doctor baada ya kumueleza tatizo lake, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex.

Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aoe.

Anaitaji ushauri wenu, Mimi nimeshindwa. Nimshauri nini?
 
Jamaa

Au ndo wewe nini unayepinga ushaur wa dr
Sikukuelewa ila nitampa asome coment zenu... coz ni frnd wangu tunakutana kwenye harakati za kila siku.
 
Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Nimeshaona mdada pia alishauriwa na doctor akafanye sex, alikuwa hajafanya kwa kipindi kirefu, sex ni tiba kuna article inaelezea namna sex imekuwa tiba kabisa by scientists, hormones ziki zidi mwilini zinaleta madhara,
 
Ninakuelewa sex ni nzuri lakini pale unapokuwa na mwenza mmeaminiana. Siyo jambo jema kufanya sex kwasababu kama roho haiko tayari. Kama amefikia umri wa kuoa na yuko tayari ataenjoy sana sex kwenye ndoa. Ninampa hongera nyingi kwa kuweza kujitunza mpaka umri huo alionao.
 
mazoezi gym mbona yanasaidia sana.
Sio kila jambo linahitaji zoezi la gym..... Hormones ziki zidi mwilini zinaleta athari...... Wana science wanajua hilo.... Na tiba ni kufanya SEX na kama huna hata mpenzi doctors atakushauri ukapige nyeto....
 
Ninakuelewa sex ni nzuri lakini pale unapokuwa na mwenza mmeaminiana. Siyo jambo jema kufanya sex kwasababu kama roho haiko tayari. Kama amefikia umri wa kuoa na yuko tayari ataenjoy sana sex kwenye ndoa. Ninampa hongera nyingi kwa kuweza kujitunza mpaka umri huo alionao.
Nipe nami hongera, simjui mwanamke[emoji85]
 
Mwambie asipofanya kwa kufuata ushauri wa daktari atafanywa yeye!
 
Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Mpendwa M7,
Mbona dawa ni ndogo !! 'afunge saumu (fasting) katika week mara moja au mbili.. hilo sanga lote litaisha!! au afunge saumu siku ya j3 na alkhamisi...
 
Hysteria itakuwa inawatokeaga sana wanawake unakuta wanachekacheka tu ila akiliwa anatulia
Ajitahid afanye tu akipona ataendelea na msimamo wake
 
Back
Top Bottom