Nimeshaona mdada pia alishauriwa na doctor akafanye sex, alikuwa hajafanya kwa kipindi kirefu, sex ni tiba kuna article inaelezea namna sex imekuwa tiba kabisa by scientists, hormones ziki zidi mwilini zinaleta madhara,Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Nimeshaona mdada pia alishauriwa na doctor akafanye sex, alikuwa hajafanya kwa kipindi kirefu, sex ni tiba kuna article inaelezea namna sex imekuwa tiba kabisa by scientists, hormones ziki zidi mwilini zinaleta madhara,
Sio kila jambo linahitaji zoezi la gym..... Hormones ziki zidi mwilini zinaleta athari...... Wana science wanajua hilo.... Na tiba ni kufanya SEX na kama huna hata mpenzi doctors atakushauri ukapige nyeto....mazoezi gym mbona yanasaidia sana.
Nipe nami hongera, simjui mwanamke[emoji85]Ninakuelewa sex ni nzuri lakini pale unapokuwa na mwenza mmeaminiana. Siyo jambo jema kufanya sex kwasababu kama roho haiko tayari. Kama amefikia umri wa kuoa na yuko tayari ataenjoy sana sex kwenye ndoa. Ninampa hongera nyingi kwa kuweza kujitunza mpaka umri huo alionao.
Prove[emoji1]Mkuu mimi nina mchumba mwaka wa 3 sasa.. Tunaplan za kufunga ndoa this year inshaallah ..
Mpendwa M7,Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Acha kumpotosha mwenzako, mpe papuchi mwenzako aondokane na hizo shida zinazomkabidhi. Muonee huruma mwenzako!mazoezi gym mbona yanasaidia sana.