Daktari anapaswa kuudumia wagonjwa wangapi kwa siku?

Daktari anapaswa kuudumia wagonjwa wangapi kwa siku?

Gari Moshi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
680
Reaction score
421
Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa dharura awe mmoja usiku.
 
Back
Top Bottom