Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa dharura awe mmoja usiku.