Gari Moshi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 680 Reaction score 421 Mar 28, 2015 #1 Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa dharura awe mmoja usiku.
Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa dharura awe mmoja usiku.