[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weeee endelea kuotaa
Mbona hata wahandisi wanakutana na hizo changamoto kuna wakati wanaitwa mashine imesumbua wakati inatumika kwa mgonjwa na hospitali yote ipo hiyo tu,kama itaendelea kuwa mbovu huduma zinasimama,pia hilo la kupata magonjwa mtumishi yeyote anaweza kupata magonjwa kama hatachukua tahadhar za kujikinga.kumbuka hospital siku hizi kuna biomedical technician/engineer ambao wapo kuvifanyia matengenezo,kufunga na kutoa mafunzo ya vifaa tiba kwa watumiaji
700,000 kwa bachela na 450,000 hadi 580,000 Diploma kwa mwalimu inatosha sana ni kuzingatia ongezeko la kila mwaka tuuVizuri kwa maana ya sh ngapi Mkuu?
Mmmh muongo!!
Anaeitwa muhandisi Kwahiyo unamtoa kiwandani au
Kwani wewe hujui polisi na wana usalama kiujumla ndio wanajaaliwa sana awamu hii?Mbona hamsemi polisi anaaelala kwenye mbu . Analinde fedha zisiobiwe wakati mfukoni hana kitu?
Je, huyu Dr waweza mlinganisha na polisinkwa risk?
Sasa Nyie maeng ndo mnatumia puru kufikiri maana tatzo dogo kama lile mpaka wachina waje kuweka idea ya round abt kwa kutumia mabati mpaka tukabaki tunashangaa hawa Maeng wanaosoma Civil sijui udsm kila siku mnakaa foleni pale ya kwenda mabibo hostel hata Kujiongeza mtoe idea nini la kufanya hakunaa...[emoji23][emoji23][emoji23] Zero brain kabisaaTukisema hivyo hakuna taaluma ambayo bongo ni competent.. tumia akili acha kutumia sehemu ya kutolea haja kubwa kufikiri!
Mbona hata wahandisi wanakutana na hizo changamoto kuna wakati wanaitwa mashine imesumbua wakati inatumika kwa mgonjwa na hospitali yote ipo hiyo tu,kama itaendelea kuwa mbovu huduma zinasimama,pia hilo la kupata magonjwa mtumishi yeyote anaweza kupata magonjwa kama hatachukua tahadhar za kujikinga.kumbuka hospital siku hizi kuna biomedical technician/engineer ambao wapo kuvifanyia matengenezo,kufunga na kutoa mafunzo ya vifaa tiba kwa watumiaji
Huyu pia anasoma chuo miaka mi 3 kama huyo mhandisi. Kisha anaandaa wahandisi wengine unadhani anachopata kinamstahili?700,000 kwa bachela na 450,000 hadi 580,000 Diploma kwa mwalimu inatosha sana ni kuzingatia ongezeko la kila mwaka tuu
Hakustahili in such but mada leo ni ya madaktari,walimu na nyie anzisheni uzi wa changamoto zenuHuyu pia anasoma chuo miaka mi 3 kama huyo mhandisi. Kisha anaandaa wahandisi wengine unadhani anachopata kinamstahili?
Hata wahandisi kuna wakati wanaitwa nje ya muda wakazi kama kuna ulazima sanaAsa yeye ataitwa mchana sio usiku.
Daktari sim yake lazima iwe on 24 hours unaweza ukashtukia unagonga mama watoto wakakukatisha uroda uende hospital mgonjwa amezidiwa tena usiku wa manane hususan huko vijijini tumepata za,ma siisii we acha
Kweli, Udakitari ni wito, kama Ualimu, (ingawa mimi si miongoni mwao) lakini ndio kwa mtindo huu? Na nani kasema kazi za wito,ni kuonewa? Nilidhani watu hawa, wangepewa motisha, badala ya kuvishwa vilemba vya makaratasi eti ni wito !Udaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
Mhandisi acha achukue mshahara mkubwa, moja ni mazingira magumu ya maporini na kahama hama, pili miradi wanayosimamia mi ya mabilion hivyo ukimpa laki ni rahisi kurubuniwa kwa kutokuogopa cha kupoteza na wote tunajua gharama za miradi ilivyo kubwa, mfano stigler au standard gauge ni zaidi trion 5 Tshs. Hapo mhandisi akilipwa mshahara kiduchu ni rahisi kushirikiana kuiba na contractor.Hoja yako ulipoianza nimeipenda, ni kweli kumlipa Civil Engineer zaidi ya Daktari wa binadamu haiingii akilini. Labda aliyepanga ngazi za mishahara alikuwa Civil Engineer. Majukumu na uwajibikaji wao ni mbalimbàli lakini risk pia ni kubwa kwa Dokta kuliko Injinia. Hili ni tatizo lililoanzishwa na ukurupukaji na sasa waneshindwa kulitafutia dawa hata walipounda tume ya mishahara ambayo nayo imeshindwa kurekebisha tatizo zaidi ya kelele za "Tumefikia hatua nzuri".
Hata hivyo udhaifu huo hauwezi kuhalalisha uonezi wanaofanyiwa walimu. Ifike mahali tujue chanzo cha maarifa yote ni Mwalimu. Hata hiyo miaka 5 ya Daktari hawi peke yake, anakuwa na Mwalimu kwa muda huo wote. Daktari ni mwanafunzi kwa miaka 5-7 kama ulivyosema, lakini Mwalimu ni mwanafunzi muda wote wa maisha yake. Kazi yake ni kutotoa Madaktari, Mainjinia, Wachumi, na kuabort mbumbumbu ambao wengine wanageuka kupanga mshahara wake wakitokea kwenye siasa ambako ni Kokoro la waliomo na wasiokuwamo.
Mwalimu ni Kila kitu ingawaje anaonekana si kitu.
Kwa Uzi huu huu unapaswa kuona kumbe na wewe uko juu zaidi ya watu flani ambao walipaswa kuwa juu zaidi yko , ili ujifunze kushukuru kwa unachopata. Iko hivi ukitaka kujitathmini vizuri angalia aliechini yko. Hapo utajua wewe umependelewa kiasi gani kisha utaona haja ya kushukuru unachopata. Mkuu classes are there duniani mpaka mbinguni. Ndio maana kuna Mungu, Malaika , mitume, manabii nk. Malaika hawezi kulazimisha kuwa Mungu, akifanya hivo yaani haraka sana kitmpata kilichompata Mzee Lucifer a k a Shetani. Kikubwa pambana tu upaate good life kupitia unachopata mengine waachie wenye Tabaka LA juu waamue. NI HAYO TUHakustahili in such but mada leo ni ya madaktari,walimu na nyie anzisheni uzi wa changamoto zenu
Na jamaa zangu ni madaktari wanafunzi walikuwa wanalia na hiyo pathologyMkuu ulijuaje hiyo module ni ngumu wakati wewe umesomea uhandisi?kumbuka kitu kigumu kwako kwa mwenzako anakiona rahisi.Ugumu wa kitu upo kwa mtu
Kwani Mara ngapi Umeme unakatika?? Kipi kinafanyikaVip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
Watu wakishasoma au wanaosoma medicine wanajionaga kuwa wao dio kila kitu
Acha masihala kaka,nawaheshimu sana walimu kwani wao ndio wamebeba vision ya taifa lolote lile duniani,wanacholipwa hawastahili hata kidogo.Walimu kwa sasa wanalipwa vizuri kuliko awali,na ukiangalia ugumu na risks za kazi ualimu sio mgumu wala sio risk Kama daktari