BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Kwa sababu wanapaswa kukariri zaidiHujui unachokiongea wewe..! Jiulize kwanini wanasoma 5yrs + 1yr Internship
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu wanapaswa kukariri zaidiHujui unachokiongea wewe..! Jiulize kwanini wanasoma 5yrs + 1yr Internship
Hauna lolote nyie madaktari mliingia huko mkiwa na ideology kwamba ndio kazi inayolipa zaidi. Sasa mkishaona kuna kazi ambazo watu wanasoma miaka 3 tu mnapaniki sana, na kuanza kuhoji kama mtoa madaUtakuwa ulishindwa kwenda PCB ama ulikwenda ukashindwa kwenda medical school. Wewe tu na inferiority complex yako unawaona hivyo!
Well said.. huku kwenye uinjinia dili ni nyingi sana yaani tunakula pesa nje ya mishahara kizembe sana then kama kawaida yetu ni kusimamia tuHuu ndio uungwana,wahandisi wana fursa nyingi za lobbying ya pesa lakini kwenye projects posho za supervision tu zinaweza zidi salary mara dufu zaidi hapo bado ten percent kutoka kwa wakandarasi
Gap lipo lakini wote mishahara hiyo hiyo tu,maana serikalini wapo watu wanalipwa hadi 35m per month,Kama kina BASHITE Zero Brain wanapata hadi 6m per month iweje mtu mwenye Degree apewe laki 8?Sasa sio sawa na daktari mwenye net 800,000 huoni gap hapo mkuu?
Rekebisha kingereza chako kwanza ... Glosy ndio nini?
Hauna lolote nyie madaktari mliingia huko mkiwa na ideology kwamba ndio kazi inayolipa zaidi. Sasa mkishaona kuna kazi ambazo watu wanasoma miaka 3 tu mnapaniki sana, na kuanza kuhoji kama mtoa mada
Mim kuna jamaa yangu kaajiriwa Tutorial assistant kwenye moja ya vyuo vya serikali na kagundua kuwa anakula pesa ndefu kuliko daktari aliyeajiriwa na serikali kuu na huku mshikaji kasoma ualimi.
Sasa najua siyo mda mtakuja kuanza kuhoji kwa nini Tutorial assistant alipwe zaidi yenu.
Wew ndio unawazimu, kwa kudhani kuwa PCB ndiyo kila kitu, huku watu wakilopwa 5m monthly na hata rangi ya PCB hawaijui na hawajakaa shule 5+ years kama wewUna wazimu nini? Ulishindwa PCB sasa unaleta mambo ya TA hapa! TA ndio nini! Nilikuwa TA mwaka 1998. Nafanya kazi World Bank sasa...
Ni moja ya mtazamo. Vizuri..!Kwa sababu wanapaswa kukariri zaidi
Wew ndio unawazimu, kwa kudhani kuwa PCB ndiyo kila kitu, huku watu wakilopwa 5m monthly na hata rangi ya PCB hawaijui na hawajakaa shule 5+ years kama wew
Sasa mbona unaowatetea hawapati hata nusu ya hiyoHata kazi bado haujapata. Utakuwa mtaani wewe... Utaozea hapo. Mil 5 nayo unaona hela.
Mkuu u know nothingKawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.
Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
Sasa mbona unaowatetea hawapati hata nusu ya hiyo
Na umesikia hapa hapa kwamba kuna madaktari wengine wako hapa hapa bongo na wanakula 4m + na kuna civil wanakula 5m+
Hicho kipengele cha wivu ndio ninacho kikataa na tumefika huku kwa sababu doctors walianza kudai kuwa wao ndio watu wa muhimu sana kuliko wote. Na mtoa mada akawa na mawazo ya kwamba wakimlipa kama au zaidi ya engineer atakuwa tajir.Nimekwambia namtetea mtu hapa? Mimi nimesoma tu comments zako nikaona zimejaa wivu wa kike dhidi ya madaktari. Unaonekana ni wale wa sizitaki mbichi hizi baada ya kujaribu na kushindwa. Hakuna mtu namtetea hapa na wala mimi sifanyi hiyo kazi unayokandia. Mimi ni independent thinker... Siko katika ligi za kitoto. Hata mleta mada hakusema kuwa yeye ni daktari. Ila nyie wenye wivu wa kike mmefanya aonekane ni daktari.
Duh! Hatari sana. Kwa hiyo Walimu hawana umuhimu?kingine mtu kujua kitu au kusoma kuna mchango mkubwa WA mhusika mwenyewe
Hicho kipengele cha wivu ndio ninacho kikataa na tumefika huku kwa sababu doctors walianza kudai kuwa wao ndio watu wa muhimu sana kuliko wote. Na mtoa mada akawa na mawazo ya kwamba wakimlipa kama au zaidi ya engineer atakuwa tajir.
Ila maoni yangu kwa mtoa mada nimryaeleza vizuri kabisa kwenye post yangu ya kwanza kwamba hawezi kufananisha ulipaji wa mishahara kati ya serikali kuu na mashirika ya umma kama tfda na mengine