Daktari awaonya wanaume na wanawake kunyoa nywele za sehemu za siri

Daktari awaonya wanaume na wanawake kunyoa nywele za sehemu za siri

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,668
Reaction score
2,908
Daktari Awaonya Wanaume na Wanawake

Kunyoa Nywele za Sehemu ya Siri
Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu sana hasa wakati wapenzi waposhiriki kitendo cha ndoa.
Akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Citizen Jumatano Machi 27, daktari huyo alisema nywele hizo husaidia sana wakati wa kitendo cha ndoa.
Aidha, daktari huyo alisema sio salama kuzinyoa kwani mtu anaweza pata vipele na michubuko kwenye sehemu za siri
" Mimi kwangu binafsi napendelea hizo nywele ziwepo, zina umuhimu sana wakati wapenzi wanaposhiriki kitendo cha ndoa," Dkt Kibe alisema.
Daktari huyo alisema wale ambao hunyoa nywele hizo wanahatarisha maisha yao kwani ni rahisi kuambukiwa magonjwa ya zinaa.
 
Naaanza kuelewa kwanini Maproffesa wengi hawanyoi nywele zao. Ama kweli kuchamba kwingi hatimaye ni kushika mavi. Ninachoamini kutonyoa nywele ni UCHAFU kama Uchafu mwingine tu. Hawa wasomi wetu wa Kafrika waelewe miongoni mwa Udhaifu wa taalama zetu ni OVER SPECIALIZATION.
 
Japo kunyoa ni muhimu. Nywele zangu ziliwahi jufungana na za Bint mmoja wakati kunakwich

Ilikuwa vita kuzichomoa

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Japo kunyoa ni muhimu. Nywele zangu ziliwahi jufungana na za Bint mmoja wakati kunakwich

Ilikuwa vita kuzichomoa

Siyakukothamela Sonini na nini
Hahaha

Mkuu hiyo signature maana yake ni nini??
 
Wingi wa bustani ya mavuzi sio uchafu - ni uchafu kama utaiacha bustani yako bila matunzo. Unajua mavuzi ni kama nywele za kichwani ukiamua kuzifuga ujue kuzigharamia.

Mimi huwa sikati miti kwenye huu msitu wangu wa Mabwepande siku zote huwa nakata tu yale matawi madogo madogo tena kwa kutumia mkasi.

Nimejiuliza hivi kunyoa mavuzi yote ukabaki mweupe kama uwanja wa taifa inaweza vipi kukuletea madhara?! Labda tuseme ni hatari sana kunyoa mavuzi yote kwa kutumia wembe, hatari ambayo lazima ikuachie vipele ambavyo vinatengeneza vidonda. Hasa hapo ukikutana na mwenzio aliyenyoa kama wewe ndio balaa, sijui labda maana sipati jibu kamili. Ila wote tujaribu kujiuliza haya mavuzi yana nini, nimewaona Wajapan wengi hawanyoi mavuzi.
 
kwani kunyoa tumeanza leo! huyo daktari asijifanye anajua sana, kama ana msitu ni uchafu wake tu

thanks to god the almighty
 
Back
Top Bottom