Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

Melvine

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
701
Reaction score
1,334
Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa?

CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile likitokea. Ni eidha walikua wanajua nini wanataka au kama ni kweli walikua hawajui katiba inasemaje basi sisi kama Nchi tunasafari ndefu sana ya kwenda uko tuendako kama.

Usishangae nimeuliza swali lingine na 'paragraph' ya pili nimezungumzia inshu nyingie.
Legeza fuvu na utanielewa tu.
 
Back
Top Bottom