Daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama

Daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
jambo bandugu?
Nina shida mama watoto hapati ujauzito huu ni kama mwezi wa tatu sasa najaribu bila mafanikio. Naomba mwenye connection na dr yeyote mtaalam either anipe namba yake pm nifanye apointment nae au hata akiiweka hapa si mbaya kwa faida ya wengine wenye tatizo hilo pia.
NB naomba tu awe ni daktari wa kusomea sio sangoma plz pia awe wa dar es salaam au pwani.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mnh mwezi wa tatu mshaanza kupanick???

yeah mkuu ni vyema kupita kwa wataalam ili kama kuna issue tujue mapema. Manake najitahidi kwenda na kalenda vyema kabisa lakin mwisho wa siku kitu hamna. Ki muonekano tuna afya njema tu na age ni 25 kwa 28 so ni vyema kuzaa mapema ili tuwe na time ya kutosha kulea
 
Wenzio wanangojea hadi inafika miaka kumi.
......... Mtafute Dr. Sijabaji wa Mbeya............
 
Naona umewahi sana mkuu, miezi mi3?, angalau ingekuwa 6 au mwaka hivi

Anyway Dr. Mashavu anaweza kukusaidia.Npo krb na ndugu yake.
 
Mnh mwezi wa tatu mshaanza kupanick???

yeah sio kupanic tu ni vyema kupata mtaalam wa afya na kujua shida ni nini. Kama dr atasema hakuna tatzo hapo sawa tutaendelea kusubiri tukimuomba Mungu
 
Wenzio wanangojea hadi inafika miaka kumi.
......... Mtafute Dr. Sijabaji wa Mbeya............

sizani kama huwa wanangojea mpaka miaka 10 wakiwa wamekaa tu lazma kuna jitihada wanafanya pengine bila mafanikio
 
Back
Top Bottom