TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

Duh!! Pole kwa familia
Nimeangalia huu mkono nikakumbuka siku ya kwanza kwenda moi pale sikupanda pikipiki kwa miezi Mana picha za wagonjwa wa pale zilinifanya nikaogopa Sanaa[emoji3064][emoji3064] nolikuaa niliona pikipiki naona Kama ni jeneza
Dah kweli Mkuu, maana mkono wa jamaa umekuwa kama zipu kwenye begi la Canvas
 
Niseme ukweli wengi tunapenda kujua chanzo cha kifo pale kinapotangazwa. Ndo tumezoea hivyo, huwezi kuniambia fulani kafa bila kunipa sababu ya kifo chake nikachukulia poa.

Malizieni na sababu madukuduku yaishe.
 
Do you want to explore the underlying cause before establishing the cause..
There many types of causes of death.I am not interested with the immediate cause of his death.I just want to know the underlying cause of his death.
 
Tumepoteza mtaalam ma magonjwa ya mauhimu sana maana ajali ni nyingi, na wewe hongera kwa kupona mkono
 
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mama Tanganyika. Umekitumikia kizazi hiki kwa waledi. Umemaliza kazi yako. Mungu aifariji familia yake
 
Huo Ni mkono au madoido kwenye mkoba wa bidada Fulani wa MUST?
 
Pumziko La Amani Apate Mwendazake.

Ila kama hampo tayari kuandika chanzo cha kifo basi walau muandike amefariki kwa sababu za kawaida(natural causes).
 
Siyo kweli maDC, Madiwani na Wabunge hawana umuhimu na wengine kibao sina muda wa kupoteza kuwataja. Ukitaka kunielewa zaidi fuatilia muundo wa serikali wa Uswisi.
Ha ha ha huwezi kunielewa. Labda ondoa neno taifa kwenye post yangu weka neno dunia utapata mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…