Daktari bingwa wa mifupa

therocky

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
13
Reaction score
8
Habari wana JF. ninaomba yeyote anayejua daktari wa mifupa anifahamishe tafadhali miguu ndio inasumbua, au hospitali ambayo nitapata matibabu mazuri. Kuna daktari nimeelekezwa pale Muhimbili ila schedule yake ni ngumu sana appointment yake ni zaidi ya wiki mbili ndio umuone nami nahitaji matibabu ya haraka. Natumia bima ya NHIF

Asanteni.
 
Mguu unauma au umevunjka?. kuna docta wa mitishamba ya mifupa na vidonda sugu, mm kanitibu ,anatumia tiba ya asili, nilivunjika mguu, kanitibu ndani ya miezi miwili tu.bila oparation wala kumeza dawa.Yupo morogoro,wilaya ya Mvumero kijiji cha Majichumvi
 
Kama upo Dar nenda TMJ hosp pale mikocheni jiran na shoppers plaza dr wa mifupa anapatikana j3,j5 na jmos
 
Hvyo vdonda sugu unamaansha vya tumbo au vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…