therocky
Member
- Jul 30, 2015
- 13
- 8
Habari wana JF. ninaomba yeyote anayejua daktari wa mifupa anifahamishe tafadhali miguu ndio inasumbua, au hospitali ambayo nitapata matibabu mazuri. Kuna daktari nimeelekezwa pale Muhimbili ila schedule yake ni ngumu sana appointment yake ni zaidi ya wiki mbili ndio umuone nami nahitaji matibabu ya haraka. Natumia bima ya NHIF
Asanteni.
Asanteni.