Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Nipo Dar mkuuKama uko Mwanza, karibu kwa Dr. Kilonzo mtaa wa Uhuru. Mwanza Hospital
Nipo Dar mkuu ukinitajia japo hosp moja nitakushukuru kiutakatifu wa hali ya juuMbona hospital karibu zote wapo mkuu,ni wewe kwenda na kuwaona private.
Nenda Mikocheni Harbert Kairuki hospital au Marie stopes MwengeNipo Dar mkuu ukinitajia japo hosp moja nitakushukuru kiutakatifu wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuNenda Mikocheni Harbert Kairuki hospital au Marie stopes Mwenge
Asante mkuuNenda Agha khani kwa Dr Kaguta, Msasani Peninsula kwa Dr Shafiq, Rabinsia memorial kwa Dr Kash, hao ni baadhi ya ma best gyno hapa Daslam, all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope umeshaenda mkuu, hzo zote nilizozitaja wanatumia NHIF isipokuwa agha khan
Hivi mkuu gharama za kuwaona kimakadirio ni kama kias gan hivi?Hope umeshaenda mkuu, hzo zote nilizozitaja wanatumia NHIF isipokuwa agha khan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital nyingi wanatumia bima ya afya,ila Rabinsia au Kairuki ka huna bima kumuona dr 30000 so bora utafte tu bima
Dr. Tarimo yupo muhimbili. Very down to earth. Nadhani yeye ndiye kiongozi wa magyana pale muhimbili.Nenda Agha khani kwa Dr Kaguta, Msasani Peninsula kwa Dr Shafiq, Rabinsia memorial kwa Dr Kash, hao ni baadhi ya ma best gyno hapa Daslam, all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Tarimo husifiwa sana na wamama instagram clinic yake ipo Ekenywa hospital MagomeniDr. Tarimo yupo muhimbili. Very down to earth. Nadhani yeye ndiye kiongozi wa magyana pale muhimbili.
Hutajuta kuhudumiwa na yeye, japo sijui clinic zake anafanyia wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa taarifa.Huyu Tarimo husifiwa sana na wamama instagram clinic yake ipo Ekenywa hospital Magomeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr kilonzo anapatina maeneo gani hapo Mwanza? Na nawezaje kupata mawasiano naye? Anatumia Bima( NHIF)?Kama uko Mwanza, karibu kwa Dr. Kilonzo mtaa wa Uhuru. Mwanza Hospital
Siku nikipata mimba nitamtafta awe gyno wangu heeeh napenda madaktari wastaarabu aisee, na wazoefuAsante kwa taarifa.
Madaktari wengine huwa ni arrogant. Lakini Dr. Tarimo ni tofauti kabisa. Anachukua muda mwingi kumtizama mgonjwa ili awe na uhakika na matibabu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina bima vp huyo Tarimo niandae shingap kumuona?Huyu Tarimo husifiwa sana na wamama instagram clinic yake ipo Ekenywa hospital Magomeni
Sent using Jamii Forums mobile app
3000 kumuona dr bado vipimo, ningekushauri ukate tu bima ya NHIF ni million na nusu itakupunguzia gharama, hasa za clinic kujifungua