Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
- Thread starter
- #21
Hapo hizo tarakimu unamaanisha kumuona ni elfu tatu au thelathini?3000 kumuona dr bado vipimo, ningekushauri ukate tu bima ya NHIF ni million na nusu itakupunguzia gharama, hasa za clinic kujifungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hyo bima ya Afya milion na laki tano kwa mwaka au? Kama ni kwa mwaka vip kwa mwezi inakuwa shingap?
Sent using Jamii Forums mobile app